Recent content by ngulyabhule

  1. N

    JamiiForums Tanzania Anayejua ukweli wa madai ya Solo Thang kwa Afande Sele, atuambie

    Sasa kama wewe mwenyewe unashangaa una tofauti gani na Solo?! Ile ngoma ya Darubini hakuna ngoma ya Solo inayo karibia kwa rhymes!
  2. N

    JamiiForums Tanzania Mbadala wa vumbi la mkongo huyu hapa

    Marehemu alipata kunena "hili nalo mkaliangalie"
  3. N

    JamiiForums Tanzania Huyu rafiki yangu anatokaje kwenye hili..?

    Sema sana omba yasikukute! Hili swala la kumwaga nje ni tofauti sana na uhalisia
  4. N

    JamiiForums Tanzania Ushauri namna ya ku deal na mabinti wa kibajuni...

    Kakurupukia tako pasi kujua utamaduni wao! Jamii ya bajuni inafuata mfumo maalum ambapo kwao hata mwanamume anapooa, huenda kuishi katika familia ya mke wake. Sasa mshauri huyo nduguyo ili afaidi penzi la mkewe vizuri ahamie ukweni! Ingawa sisi huku tatamcheka na kumdharau maisha yake yoote kuwa...
  5. N

    JamiiForums Tanzania Marehemu Jane ndiye aliyenunua kiwanja na kujenga, alitaka jina lake liwe kwenye hati

    Ameshauri pasi kuwa na uhakika! je kama huyo mwanamke alinunua yeye kwanini asinge andika jina lake tangu awali?!
  6. N

    JamiiForums Tanzania Kujisokonyoa sehemu za siri na kunusa: ni hulka au ni ugonjwa?

    Hii tabia nimedumu nayo enzi za ujana ilikuwa hatua ya kwanza ni kujakikisha demu ananukia vizuri kwanza ndo mengine yafuate!
  7. N

    JamiiForums Tanzania Nifanye nini Ili nisimpoteze

    Nikusaidie tu kukuambia kuwa mke wako mtarajiwa mwakani ndiyo anaingia form two!
  8. N

    JamiiForums Tanzania Rafiki yangu wa kike anataka nimuoe, je tutakua tumefanya maamuzi sahihi?

    Sisiti kusema we jamaa ni lijinga sana!
  9. N

    JamiiForums Tanzania Huyu ndo mwanasheria anayetegemewa na Serikali?

    Shida ni uongo unapokutana na ukweli!
  10. N

    JamiiForums Tanzania Watu wa Mwanza, Arusha na Mbeya wanafuata nini Dar?

    Tuanze na wewe mwenyewe! Dar unatafuta nini?
  11. N

    JamiiForums Tanzania Walevi nawaomba hapa leo

    Kwa hii supu utatapika kuanzia uyole hadi mwakaleli mkuu!
  12. N

    JamiiForums Tanzania Picha ya Dunia yenye high resolution kutoka space imepigwa na Artemis II!

    Nashuhudia live "tilted at an angle 23.44°"
  13. N

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Uganda: General Muhoozi aipa Iran siku saba kuomba radhi

    Binafsi nikionaga jamaa lina ndevu sampuli ka hii huwa sinaga imani naye 100%
Back
Top Bottom