Recent content by ngulimi's son

  1. N

    JamiiForums Tanzania Uzi maalumu kwa ajili nyimbo za injili za zamani(Old school Gospel songs) za Tanzania!

    Wimbo unaitwa Shida na Matatizo, uliimbwa na AICT Shinyanga Choir 1997, nikiupata nitauweka
  2. N

    JamiiForums Tanzania Uzi maalumu kwa ajili nyimbo za injili za zamani(Old school Gospel songs) za Tanzania!

    Asante sana mkuu, naomba kama una zile zingine kwenye album yao hiyo utuwekee hapa, mfano Harusi tatu, kama ningefahamu siku, ba nyinginezo. Nitashukuru sana
  3. N

    JamiiForums Tanzania Majina ya kike ya Kisukuma

    Sumayi
  4. N

    JamiiForums Tanzania Mkoa wa Tabora washika nafasi ya mwisho Mtihani wa Darasa la 7

    Chuo cha uhazili, Tabora Chuo cha ardhi, Tabora Chuo cha ualimu Ndala, Tabora Chuo kishiriki Saut, Tabora Chuo cha ufundi veta, Tabora Na ufugaji nyuki pia. Nafikiri serikali imefanya mengi kupandisha elimu na kuwapa morali watu wa Tabora kuliko baadhi ya mikoa mingine. Umwinyi ni tatizo kuu.
  5. N

    JamiiForums Tanzania MSAADA: Wimbo wa Angurumapo Simba (by African Stars)

    Hiyo hapo kaka
  6. N

    JamiiForums Tanzania Tujikumbushe mabeki hodari waliochezea timu zetu Tanzania miaka ya 90

    Kuna mtu aliitwa Paul John Masanja
  7. N

    JamiiForums Tanzania Wanafunzi UDSM wafanya vurugu Mabibo Hostel kwa kucheleweshewa fedha za mkopo (Boom)

    Unagomaje chuoni kwa kuvunja milango. Huo ni ujinga uliopitiliza. Tuligoma sana hata sisi pia, lakini hatukuvunja milango, migomo inaanzia revo square au nkhuruma hapo. Au jkt walifundishwa haya???
  8. N

    JamiiForums Tanzania JF Mathematics clinic Special thread

    Soln: From the formula S=0.5(2A1+d(n-1))n where A1= the first term of the arithmetic progression d= common differnce of the arithmetic progression n= number of the terms of the progression and S=...
  9. N

    JamiiForums Tanzania Sangali Masanja, ana nafasi nzuri ya kushinda Jimbo la Sumve

    Kijana namfahamu vizuri, hivi sasa ni mwenyekiti bavicha jimbo la ubungo na amechangia sana kunyakua viti vingi serikali za mitaa huko sumve katika uchaguzi uliopita. Kama ni sifa tu anazo za kupitiliza. Inahitajika umoja wa wanaukawa wa sumve ili kumuondoa Ndasa kwa vyovyote vile na yoyote...
  10. N

    JamiiForums Tanzania Prof. Kitila Mkumbo: Hatujafukuzwa ACT, ni mbwembwe za mwaka mpya tu

    Mkuu, nashukuru, umetoa ushauri mzuri sana hadi mimi nisiyehusika, umenigusa. Ni muda wa Mkumbo kujitafakari kiutu uzima sasa.
  11. N

    JamiiForums Tanzania RPC wa Mkoa wa Simiyu aamrisha Mkurugenzi wa Meatu kumtangaza mgombea wa CHADEMA mshindi

    Ahsante mkuu kwa kuweka historia sawa ili heshima irudi, ili na hao wanaofikiri wameamka, waamke sasa, LEKAGI GETE E TUJA.
  12. N

    JamiiForums Tanzania RPC wa Mkoa wa Simiyu aamrisha Mkurugenzi wa Meatu kumtangaza mgombea wa CHADEMA mshindi

    Hizi kauli za kuhisi wasukuma walikuwa wamelalaa si sahihi mkuu. Nakumbuka uchaguzi wa kwanza wa vyama vingi 1995, John Cheyo alishinda ubunge huko bariadi mkoani shinyanga wakati huo, wakati huohuo mkio mnayofikiri imeamka kama arusha na mbeya hawakuwa na mbunge hata mmoja wa upinzani. Na bado...
  13. N

    JamiiForums Tanzania BAVICHA Ubungo walalamikia taratibu za Uchaguzi Serikali za Mitaa

    Hongera sana bavicha ubungo, tujitahidi kuwadhibiti hawa maCCM, waheshimu haki za raia
  14. N

    JamiiForums Tanzania Selection UDSM 2014/2015

    Karibuni kwenye website ya UDSM kuona wote walioshaguliwa kwa undergraduate mwaka 2014/2015. sasa vijana kazi ni moja tu kusoma kwa bidii. Hongereni mliochaguliwa The following applicants have been selected to join various undergraduate degree programmes for the 2014/2015 academic year. The...
  15. N

    JamiiForums Tanzania Hatimaye jimbo la Ubungo lapata viongozi wapya

    Hongera sana jembe la ukweli SANGALALI SHIJA MASANJA kuwa Mwenyekiti wa BAVICHA Jimbo la UBUNGO
Back
Top Bottom