Mkoa wa Tabora washika nafasi ya mwisho Mtihani wa Darasa la 7

mdudu

JF-Expert Member
Feb 6, 2014
6,952
9,854
Wakuu heri ya mwaka mpya, kwa sasa nipo kijijini, nimesikia taalifa ya habari kupitia Radio TBC kuwa, ule mpango wa BRN umejibu baada ya Mkoa wa Tabora kushika nafasi ya mwisho kwenye matokeo ya mtihani wa Darasa la saba, mwenye taalifa sahihi alete ufafanuzi hapa kwenye jukwaa.
 
Last edited by a moderator:
Kama na wewe umesoma huko Tabora basi Mkoa una kila sababu ya kushika mkia.
 
Last edited by a moderator:
Kweli upepo umebadilika hata,wagogo na wamakonde wamewapita wazee wa tabora boys
 
Mkoa wa Tabora kuwa na maendeleo itabidi serikalii ifanye kazi ya ziada sana maana ule mkoa wameweka ujinga na umwinyi mbele badala ya maendeleo. Eti wanasema Shilole ndiye rais wao, si ujinga huu?
 
KUNA SABABU NYINGI ZA KUIHURUMIA TABORA BADARA YA KUIBEZA. KM UCHUMI DUNI, ATHARI YA KIZAZI BORA KUSOMBWA WAKATI WA UTUMWA, KWA MUDA MREFU KUTENGWA NA MIKOA MINGINE KWA KUKOSA BARABARA, NK NK
Pia wingi wa nyoka aina ya Koboko nao umechangia wanafunzi wengi kusoma Kwa hofu huku wengine wakiwa na hasira na Mzee Sita kuwa busy na kumfuatila Lowasa badala ya kuwapelekea maendeleo.
 
Mkoa wa Tabora kuwa na maendeleo itabidi serikalii ifanye kazi ya ziada sana maana ule mkoa wameweka ujinga na umwinyi mbele badala ya maendeleo. Eti wanasema Shilole ndiye rais wao, si ujinga huu?
Wana marais wengi akina sita, Mke wake pia , Rage, Ntimizi na wengineo wengi Tatizo kubwa Tabora ni ushirikina na nyoka cobra aina ya koboko kuongezeka Kwa kasi na kutishia wanafunzi wakiwa darasani
 
Wana marais wengi akina sita, Mke wake pia , Rage, Ntimizi na wengineo wengi Tatizo kubwa Tabora ni ushirikina na nyoka cobra aina ya koboko kuongezeka Kwa kasi na kutishia wanafunzi wakiwa darasani

Ni kweli mkuu, mkoa wa Tabora ndiyo mkoa pekee Tanzania unao ongoza kuwa na vichaa wengi. Yaani hata ukiiba kiwembe utarogwa, ukimcheka mtu utarogwa, ukienda shule utarogwa eti wanasema unajifanya mzungu kupenda shule. Kwa kweli wana matatizo.
 
Chuo cha uhazili, Tabora
Chuo cha ardhi, Tabora
Chuo cha ualimu Ndala, Tabora
Chuo kishiriki Saut, Tabora
Chuo cha ufundi veta, Tabora
Na ufugaji nyuki pia.

Nafikiri serikali imefanya mengi kupandisha elimu na kuwapa morali watu wa Tabora kuliko baadhi ya mikoa mingine.

Umwinyi ni tatizo kuu.
 
Ni kweli umwinyi unawasumbua.
 
Back
Top Bottom