Recent content by ngudengude

  1. N

    Jinsi ya kushiriki kuichangia Yanga kupitia mpesa,tigo pesa na airtel money

    tutachanga, lakini pia tunaomba mchanganuo wa matumizi ya hizi pesa tunazochanga
  2. N

    Aliyedai kuwa mtoto wa Lowassa aomba radhi kwa kumdhalilisha; asema tukio limechukuliwa kisiasa na sasa anakosa amani

    hapo inaonekana baba ambaye ni EL kamwita binti yake Fatuma kinyemela na kumkubali na kisha kumpa maelekezo ya kwenda kwa media kuomba radhi. Kwahiyo Makonda kamsaidia binti Fatuma kutambuliwa na baba yake
  3. N

    Kutoka Kisutu: Mbowe na viongozi wengine sita wa CHADEMA Wapata dhamana

    Mbowe kumbe umri umekwenda kidevu choote mvii, akikaa ndani kama miezi minne kama Lema alivokaa atakuwa msikivu na angalau anaweza kabidhi uenyekiti kwa mtu mwingine
  4. N

    Tiangong-1: Chombo cha China kuanguka duniani kikiwaka moto

    wewe mchokozi sana, kama nimekuelewa kwa mbali vile?
  5. N

    Jacob Boniface (Meya CHADEMA): Tunataka kuweka kumbukumbu sawa kabla ya kufanya maamuzi magumu

    huyu jamaa jasiri sana inabidi agombee uenyekiti wa cdm huyu!
  6. N

    Gari limeharibika sawa magari huaribika. Gereza kuu Segerea lina gari moja tu tena ndio hilo bovu?

    duh fanya yako ndugu yetu, kama zile ekari zako 10 za mipapai ziko vizuri tayari na muda unao ongeza ekari 10 zingine. Haya mambo ya makesi mahakamani na magari yao mabovu ya kubebea wafungwa waachie wanasiasa, ww fanya kazi tu upige pesa
  7. N

    Ongezeko la wadada wanaohitaji ndoa nini tatizo?

    sio kweli, tatizo wanawake wanataka ndoa lakini kutimiza majukumu ya ndoa hawayawezi, wakishakuwa kwenye ndoa wasumbufu na sio wavumilivu na sio waaminifu, kwa hiyo wanaume wanaamua bora kununua huduma kuliko kuweka ndani moja kwa moja ni bora wanaume tununue pale tunapohitaji huduma.
  8. N

    Movies gani latest (2018)umeshaziangalia??

    wekeni link ya kudownload movie latest hapa acheni maneno mengi
  9. N

    Kama una namba ya Jux mwambie mtaa unahitaji ladha mpya; amezoeleka sana

    hatuna huo muda wa kumwambia, yeye aimbe tu na nyimbo ikiwa nzuri ita hit tu na ikiwa mbaya itachuja na atapotea kwenye anga la music
  10. N

    Kwa mara ya kwanza katika historia ya maisha yake ya kisiasa Mbowe amelala mahabusu

    mwache akany*e debe na yeye maana amekuwa hodari wa kuwasakizia wenzi wake na yeye ku escape sasa safari hii kaingia kwenye anga za mahabusu, mwache akae sero tu mbona tundulisu na lema na lijualikali wamekaa mahabusu bila taabu
  11. N

    Kuna gesti Dar zina CCTV ukiingia jihadhari

    sio kweli, cctv kwenye ma gest zinawekwa mwisho kwenye makorido mlangoni ila ndani ya vyumba cctv camera haziwekwi na hawaruhusiwi kuweka, labda kama kuna mhudumu mtundu ni yeye binafsi anaweza kuwa na camera binafsi akategesha ili ale chabo na akijulikana lazima afukuzwe kazi na mwenye hoteli
  12. N

    Neno gani hukuteka kimapenzi? Mimi hutekwa na neno 'my'

    mimi nikisikia neno "mpenzi" tena nikinong'onezwa sikioni nachanganyikiwa kabisa
  13. N

    Nyimbo za uchumi wa gesi Mtwara zilizogeuka ghafla kuwa Tanzania ya Viwanda

    gesi hatusikii chochote au tumepigwa kama almasi, tanzanite na madini mengine
Back
Top Bottom