Habari wakuu!
Naomba ushauri juu ya ufugaji wa samaki, uandaaji wa bwawa na upatikanaji wa chakula. Pia nifahamishwe utunzaji wa bwawa hasa maji je hubadilishwa? Sehemu ya kichanga je yafaa kwa bwawa?
Gharama za uandaaji bwawa zipoje? Hasa bwawa la kuhifadhi samaki walau 3000 hadi 5000 hivi...
Wewe utakuwa huna utafiti wa kutosha! Wakatoliki hawana ubaguzi na wangebagua basi wasomi wengi wangekuwa wakatoliki! Kwa mf. Loyola inachukua madhehebu yote na dini zote, Marian, Msalato, kwa kutaja chache tu na kwa vyuo ikumbukwe vyuo vingi tanganyika na Tanzania ya sasa ni vya kikatoliki na...
Yani hii kitu mbaya sana watu hawana ustarabu ndo maana. Ni kweli mdeni anaweza kuwa na sababu ya msingi tu ya kutolipa kwa muda ila kinachomfanya awe mngwana na mstarabu ni kutoa taarifa kuwa kakwama hapo ndo wengi hushindwa kuwa waaminifu...
Mi sioni kama Mwadhama Kadinali Pengo ile kauli alitoa kwa niaba ya kanisa katoliki bali aliitoa kama raia binafsi na hata ktk baraza la maaskofu katoliki si wote wanaotaka serikali tatu Bali ni katika maoni yao kura nyingi ziliangukia kwa wanaodai serikali tatu na kwa wale wenye mawazo tofauti...
Hii hata kipofu ataona nini kinaendelea! Acha wacheze rafu halafu wakikosa urais 2015 patakuwa patamu maana utakuwa muda wa kulia na kusaga meno kwa magamba....ngoja tusubiri tuone!
Wanawake ni wengi hvo wanategemea wanaume haohao waliooa. Pia mnakumbuka bwana mmoja aliemkata mkono mkewe alipomnyima papuchi alipokuwa kwenye siku zake? Mwanamke baada ya kulazimishwa na jamaa ampe hvohvo mke ikabidi ampe ruksa jamaa akatafute wa kugegeda nje ila jamaa hakuafiki kwa sababu...
Wakuu,
katika harakati za kujikwamua kiuchumi nimeshawishika kuanzisha ufugaji wa kuku. Naomba mawazo yenu juu ya gharama za kuwahudumia kuku wa kienyeji na wale wa kisasa ipoje? Pia hatari ya kupata magonjwa ni kuku wepi wanastahimili? Na kwa wale wanaofuga tayari nitafurahi mkiniPM ili niweze...
Habari wanaJF!
Kuna kero tumekuwa nayo toka mwezi wa 10/2013 hasa wakazi wa Tungi na Tubuyu hapa Morogoro mjini ya kutokuunganishiwa umeme ilihali tulishalipishwa Sh. 320,000/- ikiwa ni gharama ya kuunganishiwa umeme tangu wakati huo. Cha ajabu mpaka sasa tunaambiwa Hakuna nyaya lakini tayari...
Hii imekaa sawa....na zaidi mkoko uwe na mziki mnene dah kukimbiliwa na dadaz sana Kama kaomba lift umuache magomeni usalama utasikia anakuambia basi twende tu hadi posta!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.