Recent content by Ngororo

  1. Ngororo

    Kilimo cha Mapapai: Ushauri wa Kitaalamu, Changamoto na Masoko yake

    Nipo Dar miche nitaipata Wapi wakuu?
  2. Ngororo

    Uzi wakutaja kitu chochote ambacho uliwahi kuona na sio cha kawaida katika maisha yako

    Mtu aliyepigwa risasi na SMG sisi Ya 36 na akapona.
  3. Ngororo

    Huyu ndiye Mwanamke wa Kuoa, ila sijui kama Tanzania yupo...

    Dem Wa kukulipia Bill na nauli tena??? Duuuu
  4. Ngororo

    Hali sio mbaya kama inavyoenezwa kwenye mitandao!!

    Naomba mniache plz. Nimemwachia mungu yy ndio muweza Wa yote.
  5. Ngororo

    Pierre atabaki kileleni! Bash boy ni zero ya kutokomeza

    Chiiiiiiiiiiiiíiii Sent using Jamii Forums mobile app
  6. Ngororo

    Joshua Nassari avuliwa Ubunge wa Arumeru Mashariki kwa “Utoro” Bungeni

    Aisee hii itakua staili mpya Ya kuunga mkono juhudi..... Sent using Jamii Forums mobile app
  7. Ngororo

    Taja watu mashuhuri ambao kwako wewe unadhani hata ukiambiwa wana undugu kwa kufanana kwao hautobisha kabisa

    Mh. Khamis kigwangala na msanii Muhogo mchungu. Sent using Jamii Forums mobile app
  8. Ngororo

    Prof. Lipumba amtahadharisha Tundu Lissu na gia za angani!

    Kumbe LIPUMBA Ni mwenyekiti wa CUF. Sent using Jamii Forums mobile app
  9. Ngororo

    Wana JF tumwambie Rais Magufuli kwa kauli moja, amfukuze kazi Waitara

    Tehe.... Tehe..... Tehe.... Tehe.. Nimecheka mstari mmoja kwenye uzi wako unaosema hivi....... Nanukuu "vinginevyo serikali yako ITAONEKANA inateka na kuuwa watu" Tehe.... Tehe..... Tehe eti itaonekana Sent using Jamii Forums mobile app
  10. Ngororo

    Wale tuliopitia Tabora boys (boyzee) na Majirani zetu Osso hebu tukumbushane

    Dah... Wale Tabora Boys walikua waoga Sana mbele Ya Milambo men.... Yaani wakikutana Boys, Girls na Milambo men Boys wanakimbia wanawaachia men mademu.. Hasa kipindi cha mashindano Ya michezo Mwinyi stadium. Wale madem Wa Tabora girls walikua wanawapenda Sana Milambo kwa sababu hawakua...
  11. Ngororo

    Watz]anzania Hawakumchagua Lowasa Bali Walichagu Upinzani

    Kwa situation ilivyofikia Ni kwamba Walisema hata upinzani wangeliweka mawe dhidi Ya mgombea Wa ccm Ni kwamba kura zingepigiwa kwa mawe. Sent using Jamii Forums mobile app
  12. Ngororo

    Jinsi ya kuilock TV Stesheni ya TBC kwenye kingamuzi

    Mi TBC imenivunjia Tv zangu flat karibia saba hivi.. Yaani mwanangu akirudi shuleni akikuta House girl kaweka hiyo Chanel anakasirika anashindwa kuzima kwa kutumia remote anajikuta anaenda kung'ofoa waya ukutani kwa hasira. Sasa ile inapelekea TV kudondoka na kupasua. Kwa vile najua uchungu...
  13. Ngororo

    Edward Lowassa arejea CCM, apokelewa na Uongozi wa juu wa chama

    Haina shida mkuu. Sent using Jamii Forums mobile app
  14. Ngororo

    Edward Lowassa arejea CCM, apokelewa na Uongozi wa juu wa chama

    Mimi naomba wakihama nitafutwe nipigwe mawe mpaka nife.. Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom