Charliemic
JF-Expert Member
- Feb 17, 2019
- 585
- 919
Heshima kwenu Wanajamvi! Heri ya Pasaka kwenu wote mnaosherekea!!
Wapendwa baada ya kuwa nimeona kwenye mitandao malalamiko ya hali mbaya, nikaamua nifanye kautafiti kadogo japo sio rasmi ( usiniulize habari ya sampling au methodology )
Kwenye mitandao ya kijamii wanaondesha propaganda ni kijikundi cha watu wachache ambao hata 50 hawafiki!! Hata majina naweza kuyataja!! Uhalisia mtaani maisha yapo vzr watu wanapiga kazi. Hakuna malalamiko ambayo tunayaona mitandaoni!
Naishauri Serikali isiingie kwenye mtego wa propaganda za ripoti sijui iwe ya IMF, au ya CAG. Hizi ni propaganda za kuichafua Serikalini yetu pendwa