Recent content by Ngoromiko

  1. Ngoromiko

    JamiiForums Tanzania KLM & Air France matatani kufilisika

    1
  2. Ngoromiko

    JamiiForums Tanzania SoC01 Chanjo ya COVID-19: Yote unayohitaji kufahamu

    ?[emoji848]
  3. Ngoromiko

    JamiiForums Tanzania Nataka niache chuo nikafuge kuku ili nipate ada ya masomo

    Sawa. Pole. Nadhani umejfunza, wakati mwingine utajisahihisha.
  4. Ngoromiko

    JamiiForums Tanzania Nataka niache chuo nikafuge kuku ili nipate ada ya masomo

    Ungekuwa muungwana ungesema tu kwamba; 'kutokana na kubadilika kwa utaratibu wa Serikali wa kutoa mMikopo ya Elimu, sikubahatika kuupata ingawaje awali ilikuwa nipate'. Hayo ndo maneno ya mtu anayeomba mawazo au msaada na siyo kutumia lugha ya kashfa. Nasita sana kukusaidia manake inaonekana...
  5. Ngoromiko

    JamiiForums Tanzania Nataka niache chuo nikafuge kuku ili nipate ada ya masomo

    ...... Kama usingeongeza haya maneno ya uchochezi na ya kijinga, ningekupa mchongo fasta.
  6. Ngoromiko

    JamiiForums Tanzania Kodi ya majengo bado kizungumkuti

    Utalipa na faini ambayo ni mara tano ya ulichotakiwa kulipa.
  7. Ngoromiko

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada wa kilimo cha Azolla

    Nahitaji kiasi cha kilogram moja tafadhali.
  8. Ngoromiko

    JamiiForums Tanzania Kuzuia Wizi wa Kura na Kuporwa Computer UKAWA jifunzeni hili Kutoka ODM

    CCM ya Kenya = Chama cha Mashinani. Kinaongozwa na Mhe Isaack Kiprotich Ruto
  9. Ngoromiko

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada wa kilimo cha Azolla

    Tuelezane jamani juu ya kunakopatikana mbegu za hii kitu AZOLA ... pse!
  10. Ngoromiko

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania TFF kuwatia nguvuni washabiki wa Yanga watakaobeba mabango kuikashifu serikali kesho dhidi ya Ngaya

    Wasaka tonge wako kazini.
  11. Ngoromiko

    JamiiForums Tanzania Muongoza Watalii na Mkalimani feki wa mtalii anaswa

    Huyu ni mhujumu uchumi. Hana uzalendo na nchi yake. Anastahili kupigwa marufuku asijihusishe kamwe na biashara ya utalii. Hata kama alipanga kufanya utani, hawezi kuruhusiwa kufanyia mzaha maslahi ya nchi! ... NEVER.
  12. Ngoromiko

    JamiiForums Tanzania Usiwe unaweka maziwa maji! Mungu hapendi

    Maziwa yanapatikana fresh, hayajaongezwa hata tone la maji. Yanakamuliwa na watu wasafi. Tupo Kiromo Bagamoyo. Lita 2 asubuhi na 2 jioni. Karibuni mpate lishe bora. PM PSE.
  13. Ngoromiko

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti CHADEMA Mhe. Freeman Mbowe, Tundu Lissu na John Mrema wakiwa ndani ya Bunge la Ulaya

    Natumai atarudi na mshiko wa kulipa madeni yake.
  14. Ngoromiko

    JamiiForums Tanzania Arusha: Kiwanja Kilichouzwa Kifisadi na Madiwani Wa CCM Charudi Mikononi Mwa Umma Chini ya CHADEMA

    Nimetafakari saaana, nikitilia maanani aibu inayoendelea kukiandama chama kwa kuendelea kupanga uchochoroni miaka yote wakati ruzuku tunavuta, nikaona pengine madiwani wetu wa Arusha watakuwa wameokoa jahazi kwa kutupatia hii plot tutupie hapo kitu cha maana ili chama kiwe na nyumbani...
  15. Ngoromiko

    JamiiForums Tanzania Arusha: Kiwanja Kilichouzwa Kifisadi na Madiwani Wa CCM Charudi Mikononi Mwa Umma Chini ya CHADEMA

    Kwa kuwa hatuna ofisi za chama, tujenge hapo boonge la Makao Makuu ya CDM tuachane na kupanga vijumba vya watu mtaa wa Ufipa....... ni wazo tu.
Back
Top Bottom