Wenye ng'ombe tuko mimi na Nani.. Nitajie mwingine mfugaji mwenzanguSiyo utani mkuu labda hujaelewa nawazungumzia nyie wenye ng'ombe, mnakamu, baada ya kukamua mnaongeza Maji , na kuuza, sisi tunanua tukijua maziwa kumbe mmeingeza Maji , Mungu anawaona
Mkuu kuna watu wasio na huruma na watoto wetu , maziwa Maji ni matupu , unadhani unampa Mtoto maziwa kumbe majiKwa Mujibu wa Uislam ni kosa kubwa sana kuchanganya Maziwa na Maji unaambiwa bora uongeze Bei kuliko ku dilute.
Kwny Elimu ya Balance diet maziwa hayatakiwi kuwekwa Chochote hata Sukari ili kupata ubora na virutubisho vyote
Dah... Ukifuatilia kila unachokula... utaRIP kwa njaa.....au la zalisha mwenyewe chakula chakoau wengine wanampa maji ya kunywa mengi ng'ombe badala ya chakula mwisho wa siku akamua maziwa yenye maji mengi............. kuna mwanajeshi ananiuziaga maziwa nimempiga chini maziwa yake hata wakichomwa sindano wanyama wake anaendelea kuuza mbaya sana
kabisa ila mi nakunywa maziwa sana na nayapenda mnoo sasa mtu anakuuzia maji wakati mi nataka kutoa sumu mwilini inaboa sanaDah... Ukifuatilia kila unachokula... utaRIP kwa njaa.....au la zalisha mwenyewe chakula chako![]()
![]()
Hawa watu ni noma, haya maziwa sii ya kutegemea kabisa kila MTU na mbinu zake Maji, Mara maziwa ya Jana n.kau wengine wanampa maji ya kunywa mengi ng'ombe badala ya chakula mwisho wa siku akamua maziwa yenye maji mengi............. kuna mwanajeshi ananiuziaga maziwa nimempiga chini maziwa yake hata wakichomwa sindano wanyama wake anaendelea kuuza mbaya sana
pole mkuu ... mi wangu anaata protini zote ila ya maziwa nampa huku nikijua kuna tatizo na namuwekea kwenye uji tuHawa watu ni noma, haya maziwa sii ya kutegemea kabisa kila MTU na mbinu zake Maji, Mara maziwa ya Jana n.k
Ni janga DOGO anakula maziwa lakini afya mdororo