Kuzuia Wizi wa Kura na Kuporwa Computer UKAWA jifunzeni hili Kutoka ODM

TL. Marandu

JF-Expert Member
Jul 12, 2015
3,625
5,810
Mabadiliko Kuhusu Upigaji Kura, Kutangaza Matokeo na Kujumuisha Kura Nchini Kenya yamenigusa sana. Dr. Kalonzo Musyoka ametangaza Mkakati mpya wa Kukomesha wizi wa Kura Kenya Milele. Nashauri Viongozi wa Ukawa Watume Ujumbe Utakaotazama Mwenendo wa Uchaguzi Kenya. Na walazimishe Tanzania Tume ya Uchaguzi iwe huru Kama ya Kenya!

SIKILIZA KWA MAKINI
 
Kweli hii itakuwa komesha

Hayo yote anayoeleza ndio utaratibu na yaliyofanyika Zanzibar 2015. Pamoja na yote hayo Znz pia wanatoa certificate ku confirm matokeo na ndio sababu Ccm walishindwa kuiba. Yaliyotokea Znz tunayajua. Simaanishi kuwa Ukawa wasijifunze . La. Maana yangu sina uhakika kama yaweza kuwa ni komesha.
 
Chaguzi za afrika ni pasua kichwa nahisi bado tuko kwenye evolution
Kila sehemu ujanja ujanja tu
 
Back
Top Bottom