Ngoromiko
JF-Expert Member
- Sep 15, 2011
- 554
- 175
Nimetafakari saaana, nikitilia maanani aibu inayoendelea kukiandama chama kwa kuendelea kupanga uchochoroni miaka yote wakati ruzuku tunavuta, nikaona pengine madiwani wetu wa Arusha watakuwa wameokoa jahazi kwa kutupatia hii plot tutupie hapo kitu cha maana ili chama kiwe na nyumbani kwake....... au wewe huoni kwamba ni aibu kuendelea kupangisha uswazi kwa miaka zaidi ya 20 sasa?Hili ni wazo tu. Kalitafakari, kisha uje na tafakuri kina yako tuijadili.