Recent content by ngonyoki

  1. N

    Msaada wa lodge au hotel nzuri-Africana Mbezi Beach

    Wadau naomba mnisaidie kunitajia majina na sehemu zilizopo hotel au lodge executive (nzuri) maeneo ya Africana Mbezi Beach zenye bei nafuu. Nina shughuli ambayo itanilazimu kuwatafutia wageni wangu malazi nje ya nyumbani. Asanteni
  2. N

    Ukweli wa uwepo wa Mungu na Makazi yake upo hapa

    kaka sasa hayo majua mengine atakuwa anaishi nani? na jua linapokwisha muda wake na kufa nae mungu hufa au hamia jua lingine?
  3. N

    Wahudumu wanahitajika

    Wahudumu wa baa wanahitajika. Wahudumu wenye uzoefu kazi ya kuhudumia baa ya kisasa wahitajika. Mwombaji awe na angalao elimu ya kidato nne na kuendelea, awe mchangamfu, nathifu na mwenye uwezo wa kuhudumia club. Sehemu ya kazi ni Dar es salaam. Piga simu nambari 0754379190 kwa maelekezo zaidi.
  4. N

    Vacancy; experienced manager is urgently needed

    It is announced that a manager with experience and qualification to manage a new complex of entertainment facility including a modern pub, lounge, night club and a lodge is urgently required. As mentioned, any considered suitable applicant must have a minimum experience of four years in the...
  5. N

    Two in one house designing

    Ok hebu nieleweshe kidogo hiyo two in one una maana upande mmoja kuna nini na nini na upande mwingine una nini na nini?
  6. N

    Naomba msaada wa kuwapata wataalam wa sound proof na kuweka taa night club

    Morning waungwana, Naombeni msaada wa mawasiliano kwa anayejua mtaalamu wa kuweka sound proof na mtaalam wa kuweka taa za night club. is urgent and serious. Asanteni.
  7. N

    Utafiti: Masikini /watu wa kawaida, wanaishi maisha marefu kuliko matajiri

    Wanao watakuja kukucheka ukienda na hiyo line of thinking!!! Aisee ongeza kitabu. Kama uliogopa umande anza ngumbaru.:becky::becky:
  8. N

    Audio: Alichosema Askofu Dkt. Josephat Gwajima kwa Kardinali Pengo

    RG Forever audio zote nimezisikiliza barabara!!! Una maoni tofauti?
  9. N

    Audio: Alichosema Askofu Dkt. Josephat Gwajima kwa Kardinali Pengo

    MAMBO MUHIMU YA KUJIULIZA KUHUSU SUALA HILI; 1. Je ni kweli Bishop Pengo alikuwa kwenye kikao cha maaskofu na alisaini hiyo hati (waraka) wa maaskofu kuhusu maoni ya katiba kadri ya madai ya "Pastor" Gwajima? 2. Je kama alisaini hiyo hati je ilikuwa ni halali au sahihi kwa yeye tena kuja kutoa...
  10. N

    Soda za kampuni ya Coca Cola si salama tena, angalia picha

    Wewe na hicho kichupa chako unachotuonyeshea kuwa ni kielelezo kuwa soda za coca ni chafu ni kuwa siku nyingine kabla hujaamua kufanya kitu kama hicho kaa chini na kufikiria consequences zake kwako; hi hivi; kisheria ni kuwa ulichoshikilia siyo kielelezo kuwa hizo soda hizo ni chafu! siyo...
  11. N

    Past Continuous Tense (Wakati uliopita hali ya kuendelea)

    Naona umekuwa mkombozi sasa piga darasa la matumizi mazima ya articles "a" na "the" naona yanachanganya wadau
  12. N

    Kesi yangu na mama mwenye nyumba wa kichaga

    Nilikuwa nikusaidie lakin inaonekana huna nia ya kuomba mssada bali kudhalilisha. Ilikuwa ni lazima kwako kusema mama wa kichaga ili ueleweke? au unadhani kwa kusema mama wa kichaga utapata treatment special au wanawake wote wa kichaga ni dhulumati? Kudaiwa elfu 15 zaid na kabila ka huyo mama...
  13. N

    Natafuta Nguzo za Duara za Kukodisha

    Pdidy njoo nikuuzie hizo mbao nimemaliza nazo kazi
  14. N

    Sheria ya Ndoa: Maswali na majibu mbalimbali

    Ndoa hairuhusiwi kuvunjika bila sababu kwa sheria zetu za ndoa
  15. N

    Hivi Ukifumaniwa na mke au mume wa mtu, unashitakiwa kwa kosa gani?

    nataka nikusaidie lakini elezawanza utafumaniwa na huyo mke wa mtu mkifanya nini hasa? mkoo baa mnakunywa, mnakula kitimoto uchochoroni, mnastorisha, mnasalimiana au nini?
Back
Top Bottom