Msaada wa lodge au hotel nzuri-Africana Mbezi Beach

ngonyoki

Member
Joined
May 20, 2012
Posts
43
Reaction score
8
Wadau naomba mnisaidie kunitajia majina na sehemu zilizopo hotel au lodge executive (nzuri) maeneo ya Africana Mbezi Beach zenye bei nafuu.

Nina shughuli ambayo itanilazimu kuwatafutia wageni wangu malazi nje ya nyumbani. Asanteni
 
Fika Mbezi Resort,ulizia bodaboda hapo afrikana wanapaelewa, bei iko fair sana
 
Viva Vila Hotel - Mbezi Africana, uliza madereva taxi, bodaboda utafikishwa bila taabu

dou1.jpg
 
Havana Lodge, iko karibu na Bagamoyo road lakini pia ipo pembeni na White sand road.
Kibona Hotel nafikiri ni nafuu zaidi. Uliza Watu wa Bajaj, bodaboda watakupeleka.

Viva villa nayo ni nzuri na imetulia sana. Maarufu pia kwa "kupitishia" michepuko. Inapakana na mikoko na unaweza kufika kwa bodaboda/bajaji.
 
Na yye kaulizia kwa kujiongeza, inawezekana Ana ka mchepuko ssa anakatafutia RV nzuri na mwanana
 
Havana Lodge, iko karibu na Bagamoyo road lakini pia ipo pembeni na White sand road.
Kibona Hotel nafikiri ni nafuu zaidi. Uliza Watu wa Bajaj, bodaboda watakupeleka.

Viva villa nayo ni nzuri na imetulia sana. Maarufu pia kwa "kupitishia" michepuko. Inapakana na mikoko na unaweza kufika kwa bodaboda/bajaji.
aise,,safi sana hyo havanna lodge ni km sh ngp maaana hata na mimi wikiend hii kuna mtoto nataka nimpeleke mitaa hiyo maana yeye anakaa sinza so anataka lodge mbal na sinza
 
Viva Vila Hotel - Mbezi Africana, uliza madereva taxi, bodaboda utafikishwa bila taabu

dou1.jpg
hii viva hotel iko barabarani au unaingia ndani ndani,,nataka iliyojificha kidogo
 
Havana Lodge, iko karibu na Bagamoyo road lakini pia ipo pembeni na White sand road.
Kibona Hotel nafikiri ni nafuu zaidi. Uliza Watu wa Bajaj, bodaboda watakupeleka.

Viva villa nayo ni nzuri na imetulia sana. Maarufu pia kwa "kupitishia" michepuko. Inapakana na mikoko na unaweza kufika kwa bodaboda/bajaji.
mkuu jirani zangu hao..ni pazuri sana nilishawahi peleka wageni wangu
 
au kama unaenda salasala kuna africano,pana bar,pub na lodge pazuri sana na affordable
 
mimi ni mtu mwingine...natafuta lodge iliyojificha ambayo inakua mtu unaeza ukaingia na mchepuko na asionekane na watu wengi

Nenda nice, mlimani city! Ipo kwa ndani kidogo bei ya kawaida tu!
 
TAJA BAJETI YAKO HUKO MBEZI BEACH KUNA MAHOTELI YA KITALII TU KWA SIKU LAKI NA ELFU ISHIRINI KAMA MASKINI NJOO MANZESE TIP TOP KUNA ICE LAND,MAMBUYA NK ZIMEJIFICHA HALAFU BEI SIMPLE 20000 HADI 50000 FULL AC
 
Back
Top Bottom