Past Continuous Tense (Wakati uliopita hali ya kuendelea)

Past Continuous Tense (Wakati uliopita hali ya kuendelea)

Habari za Kazi,
Tafadhali ndugu zangu naomba kujifunza kingereza kwa njia ya mtandao, mimi ni darasa la saba. Je naanzaje??
 
Naona umekuwa mkombozi sasa piga darasa la matumizi mazima ya articles

"a" na "the" naona yanachanganya wadau
 
very good! but usisahau kutukumbusha na interrogative form, negative form na negative question form.

Kama ukipenda....

Nilitengeneza a table of all Present and Past Tenses, positive, negative and question forms, together with a short explanation as to how to use each tense (yaani, in what context), and a list of irregular verbs.

Unaweza kupakua kama PDF au Word Document.

Bonyeza link hapo chini na kwenye webpage mara utaona links kwa ajili ya download. Ni bure na bila virus au malware!


English Grammar | somabiblia
 
Wakati Uliopita Hali ya Kawaida.

Matumizi:
1. Utumika kuelezea tukio lililopita, lililokuwa likiendelea na kabla ya kukamilika, lilizuka tukio lingine.
mf. I was reading a book when a thief entered the room.
2. Utumika kuelezea tukio lililopita ambalo halikukamilika.
mf. I was trying to fix the car this morning, but I 'm not done with repair yet.
 
Back
Top Bottom