Recent content by ngonjera zinatosha

  1. N

    Nyerere na fitna za Upemba na Uunguja

    tupitie baadhi ya facts badala ya kubishana tu na kupiga ngonjera zisizo na maana. 1. muungano wa nchi yoyote ukahusisha kisiwa au visiwa ni lazima utakuwa na changamoto nyingi na matatizo sana. hata taifa kubwa kama china wameshindwa kuidhibiti taiwani. maridhiano na maelewano yasiyotumia...
  2. N

    UHALISIA: Kilichomtokea Dr. Ulimboka mwanzo-mwisho...

    huyo wa kupuuzwa anayedhalilisha jina la Pohamba ...auulizwe maswali haya mawili.....rais mstaafu JK alipokuwa addis Ababa Jan 2013 katika kikao cha APRM ,alipoulizwa atalifungulia lini gazeti la mwanahalisi , alijibu nini? ........alisema sitalifungulia kwasababu limeandika habari za kihaini...
  3. N

    Bunge Litii Mahakama; Lisipotii Nani Aitii Basi?

    hoja ipo kwenye bad precedence
  4. N

    Mahakama Kuu imesimamisha mjadala wa Ripoti ya Escrow kujadiliwa Bungeni

    tanzania au tanganyika ni kisiwa cha uwoga uliokithiri.....kama kuna taifa linataka kujifunza namna ya kuwekeza uwoga kwa wanaanchi wake waje tanzania......watu waatapiga ngonjera weeeeee , halafu wataishia kwenda kulala ....ngonjera ngonjera mitandaoni...ngonjera kazini, ngonjera barabarani ...
  5. N

    CHADEMA huwalipa wanaoandamana

    sijaona tatizo kabisa katika hili...kama watu wana shughuli zao za kupata ridhiki wakaziacha kwa siku ile halafu wakalipwa hela ya maji ,nauli kwasabau mamndamano yanatakiwa kuanzia magomeni na mtu anaishi kimara bonyokwa...unafikiri atashiriki vipi kama hana hela ya maji au nauli au...
  6. N

    President Uhuru Kenyatta is an angry man and 'distressed'.

    not all insane people are in ..........
  7. N

    Nyerere Alifanya Makosa Makubwa...

    nyerere ameshawahi kufungia magazeti? kuna haja gani ya kuwa na magazeti mengi halafu yanaandika kwa mtazamo wa mkurugenzi wa mawasiliano ikulu?
  8. N

    Mahakama ya Kisutu yamwachia huru mtuhumiwa wa mateso ya Dr. Ulimboka

    if u are not working for them,be analytical Alishamtaja aafisa ikulu...nini kilifanyika? huyo ni afisa wa ngazi ya kati tu...ameshindwa kushughulikiwa...je akitaja wakubwa ? utafanya nini?
  9. N

    Mahakama ya Kisutu yamwachia huru mtuhumiwa wa mateso ya Dr. Ulimboka

    kwa mfano ilipoonekana wazi kuwa kamanda RPC Kamuhanda alikuwa pale kwenye tukio la kuuwawa MWANGOSI...NA HATA ALIPOTAARIFIWA NA AFISA MDOGO KUWA yule anayepigwa ni mwandishi na kamuhanda akaonekana kufunga kioo na kutojali chochote....je unasubiri mwangosi afufuke amtaje kamuhanda? huyo...
  10. N

    Wanawake kwa kusengenya.....!!!!!!!

    hata wanaume mapovu wapo pia....ila gossiping character nafikiri inachangiwa vilevile na makuzi, makazi yanayokuzunguka....kw mf mtu aliyezaliwa malampaka anaweza kupiga gossip kama wa magomeni,mwananyamala kisiwani? kwa ali maua?..... mtoto wa kume aliyezaliwa mwishoni,mwishoni wamemtangulia...
  11. N

    Dr W.P.Slaa ondoa mashaka kuhusu UDSM

    usiwe proud na nafasi ya chuo chako mpaka uelewe kwanza hiyo nafasi ya nne wameshika kwenye kitu gani...je ni quality of education? hapana kabisa hizo ranks sio ranks za quality of education.....ni ranks za popularity ya website...hivyo muhimbili, hiyo nafasi yake au rank yake inatokana na...
  12. N

    Dr W.P.Slaa ondoa mashaka kuhusu UDSM

    hizo ranks sio ranks za quality of education.....ni ranks za popularity ya website...hivyo muhimbili, hiyo nafasi yake au rank yake inatokana na webmaster wao au namna alivyopopularise website yao......mtu mmoja anatuma kitu bila kuelewa anachotuma halafu anaingiza watu vichakani ,wanabaki...
  13. N

    Dr W.P.Slaa ondoa mashaka kuhusu UDSM

    those ranks have nothing to do with the quality of education provided is just how popular is your website...if u have know how to popularize your university website without taking care of the contents then you are there in top ten....
  14. N

    Dr W.P.Slaa ondoa mashaka kuhusu UDSM

    Dr umemjibu vizuri huyo bato lakini cha kuongeza zaidi nje ya context(muktadha) wa ulichomjibu....bato ameweka hizo ranks bila kutafakari na wengi wetu tukaingia katika kucoment bila kuangalia undani wa alichotuma...website hii aliyochukua hizo rank 4 International Colleges & Universities -...
  15. N

    Wanawake wanaodharau watu soma hapa

    watu wanaishi na virusi wapo wengi tu na hawalali kitandani wakisubiria siku zao bali wanachapa kazi...wapo viongozi wengi na wana madaraka makubwa....this story is very fictitious...lakini ni nzuri kwa watoto wa high school
Back
Top Bottom