Ludo kaongea ukweli na viashiria vinaonyesha umekuuma..pole sana ukiingia kwenye mada uwe na hoja na sio kutumia fallacies kama unavyopayuka wewe
Lwakatare njooo ujibu hiii
Chadema inaongozwa kwa fikra za kujipa moyo..yaani wanadhani watanzania wote wanna akili kama wale wabangaizaji wanaoshinda ufipa street..si rahisi kuhamasisha maandamano hewa yanayopigwa kalenda kila leo
We Mzee wa kuasisi Mkanda wa Ugaidi upo? - Yule jamaa muasisi mwenzako sasa hivi anakula bata tu, kashakusahau kama bado unaishi duniani. Wakati wewe unahangaika na vi-sredi vya kuchonga humu JF ili watu wajue bado una exist. na bado kama ulikuwa huijui ile policy na USE AND DUMP inayotumika pale Lumumba - utaisoma.
Aisee wewe Joseph Ludovick mtu ajabu sana...........bado uko CHADEMA pamoja na malalamiko yako yote hayo day in day out? What sense does it make?
We Mzee wa kuasisi Mkanda wa Ugaidi upo? - Yule jamaa muasisi mwenzako sasa hivi anakula bata tu, kashakusahau kama bado unaishi duniani. Wakati wewe unahangaika na vi-sredi vya kuchonga humu JF ili watu wajue bado una exist. na bado kama ulikuwa huijui ile policy na USE AND DUMP inayotumika pale Lumumba - utaisoma.
- Kumbe ulipokuwa huko Chadema umejonea mengi ya ajabu na hawa wanafiki wakubwa, ndio maana miaka 30 hakuna dola wanaishia side lines na kuandamana na kugoma tu, wewe sema wasikutishe hawana lolote na matusi yao ya kizamani zamani wakati huku mjini kuna matusi mapya kabisa le mburulazzz, weka habari hapa tuone mchele na pumba kujibu hoja hawawezi kwa sababu hawa ni wapambe tu hawajui lolote kile chama kina wenyewe muulize yule kijana waliyekuwa wanamtumia kutukana Viongozi wa CCM mitandaoni walivyomtupa kwenye uchaguzi wao hahahahahaha!!
Le Big Show
- HAHAHAHA soma tena mada ni Chadema kuwalipa waandamanaji unataka kupoteza lengo yaani unataka na mimi niongelee wazaziw ako wasiojulikana, please tulia hapa kama unanyolewa wewe Chadema sio chama chako so tuliza boli upewe darassa ywa wanaoijua Chadema, sema kaka
Le Mutuz
wazazi wangu hawewezi kufanana na wako,we unafanana na wazazi wako,mnaaibisha kabila lote la wagogo.
sijaona tatizo kabisa katika hili...kama watu wana shughuli zao za kupata ridhiki wakaziacha kwa siku ile halafu wakalipwa hela ya maji ,nauli kwasabau mamndamano yanatakiwa kuanzia magomeni na mtu anaishi kimara bonyokwa...unafikiri atashiriki vipi kama hana hela ya maji au nauli au ugali....ukimpa hela mtu kama huyo sio kuwa umemlipa kuandamana.......suala la karimjee....CCM ndio walitangulia kuwaleta watoto wa primary school...waliwaleta alfajiri kujaza ukumbi....watoto hawajui hata walichofuata.....kama unversity students wa DUCE wamepewa nauli kwenda karimjee kuna tatizo gani? tuache ngonjera....ngonjera zinatosha...tuangalie maslahi ya wananchi ambayo CCM wamekubali wameshindwa kuyatumikia,wawaachie wenzao kwa muda huu....ila hawewezi kufanya hivyo kwasababu wanataka kulinda maslahi ya watoto na wajukkuu wao kama wewe.....
Kama alivyotupwa yule mzee wa pesa za waarabu kule Mtera kuanzia 2005 hadi 2010 alipotupwa kama TP na dogo Lusinde??!
Tehe, siasa bwana?
si kwamba anapenda , bali bila kufanya hivi ataishije ? Kumbuka kwamba huyu "ni mwl asiye na kazi ".
- Ludovick toka hilo lichama limeoza hamia CCM tunakupa kugombea Urais wewe unafaa kuwa Rais sio huko kwa wahuni hao!!
Le Mutuz
- Una maana miaka 30 ya kugombea bila kupata dola au? hahahahahahah mnawalipa waandamanaji kumbe ndio akili yenu hiyo unaona mnaumbuka sasa, I mean Chadema wamekutumia kama ule mpira siku ya uchaguzi umeona walichokufanyia kudadeki chezeya chama cha wenyewe
Le Mutuz
Kuna aliyebadli jina na kuitwa Jumanne akapokea hela ya waarabu ili atinge magogoni, si anakuhusu? Kidogo mwalimu fulani arudishe kadi ya naniii! Upo hapo?- Na mwenyekiti aliyekuwa anapokea hela kwa Mkono na Rostam, mbona hujampa maneno yake unafiki unawaua
Le Mutuz