Tamatheo
JF-Expert Member
- May 28, 2012
- 3,298
- 1,562
hiviii........na wanaume wanaopenda kusengenya tuwaiteje??!?!?
Wanaitwa Wanaume kama mabinti na wengine huwaita Wanaume Suruali.
hiviii........na wanaume wanaopenda kusengenya tuwaiteje??!?!?
basi tu nkamu najisikia raha kukutaja jinalo na naona fahari na furaha pindi utokeapo jukwaani kwani huwa unakabwa na vikazi hapo
Ila mbona my wife anapiga umbea ila hapendi kuambiwa huo ni umbea wa wanawake au hulka? Ni rahisi kwa mwanamke kukubali hili kirahisi?
Wanaitwa Wanaume kama mabinti na wengine huwaita Wanaume Suruali.
Wanaitwa Wanaume kama mabinti na wengine huwaita Wanaume Suruali.
asante. kumbe ntakuwa nawaita hivi...........
haikubaliki kirahisi, mie mwenyewe kuna wakati natia stori na shemeji yako kumbe nimeingiza stori za "kike" basi akiniambia tu hivyo namnunia! unajua kuna stori fulani mwanaume "aliekamilika" anaziona kama sio kabisa na hapendi kuzisikia sasa sisi si tumezoea kushusha ishuz tunajisahau kwamba tunamix mambo, hahaha.
heee kumbe kuna wanaume suruali sikujua mie?
heee kumbe kuna wanaume suruali sikujua mie?
Ila uwe na ...... Guards au ......Brigades karibu maana police hawaaminiki kwani hawapendi kuitwa hivyo.
why? basi waache kusengenya ili nisiwaite hivyo...
Zamani tukiwa wadogo tuliambiwa baba hajambi... hivyo ikitokea unasingiziwa mtoto na hata ikiwezekana unafukuzwa ili kulinda heshima ya baba...hope umeshashughudia au umesimuliwa. Huu ndio ulikuwa mfumo katili kumlinda baba kama ilivyo kwa wanaume suruali wasiopenda kuonekana wametenda japo ukweli unasimama upande wao. Kwa kweli usijaribu kwani watatumia kila mbinu kukuaibisha.