Recent content by Ngongoseke

  1. Ngongoseke

    JamiiForums Tanzania Siku Startimes akipata dili la kuonyesha ligi ya Tz Azam watakuwa ha hali mbaya sana

    Nadhani kuna lawama zinapelekwa Azam ambazo sio zao, Startime walianza kuwepo Tz kabla Azam haijaanza, hawakuona umuhimu wa ligi ya Bongo? Dstv wapo miaka yote hata kuijadili ligi yetu hawakutaka, Azam katuamsha katufungua kupenda vya kwetu, kuacha kuonyesha Habari hata Azam linawauma pia, azam...
  2. Ngongoseke

    JamiiForums Tanzania Mahakama Kuu yamtambua Prof. Lipumba kama Mwenyekiti halali wa CUF

    Lipumba amekaa miaka mingapi? Sent using Jamii Forums mobile app
  3. Ngongoseke

    JamiiForums Tanzania Mahakama Kuu yamtambua Prof. Lipumba kama Mwenyekiti halali wa CUF

    Jaji anatoa hukumu kwa matakwa ya msajili na sio sheria inavyotaka, maajabu Sent using Jamii Forums mobile app
  4. Ngongoseke

    JamiiForums Tanzania Ukwepaji Kodi: Barua ya TRA kwa Bakhressa

    Habari hii imekaa kiumbea umbea tu ,nadhani imetoka kwenye magazeti ya udaku
  5. Ngongoseke

    JamiiForums Tanzania Ukwepaji Kodi: Barua ya TRA kwa Bakhressa

    Kwa huu upuuzi unaoendelea nchini sioni sababu ya waziri yyte wa serikali ya kikwete kurudi kundini!! watumishi wa umma wengi wao wanajihusisha na wizi au ubadhirifu mwingi tu,kila mmoja kwa nafasi yake anakamua,iko sababu ya kuwabadili wote ikibidi,
  6. Ngongoseke

    JamiiForums Tanzania Ukwepaji Kodi: Barua ya TRA kwa Bakhressa

    Huna akili wewe!!! mijizi ya escrow inatoka wapi? Lowassa ,chenge,tibaijuka,mengi ,wanaswali msikiti gani? sumaye anaswali msikiti gani? tutolee wazimu wako hapa,watawajibishwa kama wakwepa kodi wengine sio kwa sababu wanatoka dini fulani nyau wewe!! idadi kuubwa ya walisimamishwa kuanzia...
  7. Ngongoseke

    JamiiForums Tanzania Mbona jitihada anazotifanya sasa kiongozi mkuu Zitto, hatukuziona wakati akiwa CHADEMA

    Mwaka huu mtataga Zitto kawakaba kila kona
  8. Ngongoseke

    JamiiForums Tanzania Ujumbe kwa Zitto: Umekimbia Nini, Unafanya Nini?

    Hii mimba ya Zitto aliyoacha ufipa mbaya sana, kila mmoja analia yeye hata habari hana, Zitto hebu punguza speed ufipa wamekubebea mimba
  9. Ngongoseke

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    4 smiling
  10. Ngongoseke

    JamiiForums Tanzania BABA WA TAIFA ALIVYOPIGANIA UHURU PAMOJA MASHIEKH WA KIISLAM Hongera....

    Wewe ni msen,ge na ukoo wako wote punga wakiyahudi wewe
  11. Ngongoseke

    JamiiForums Tanzania ACT Mkutano wa Makambako (PICHA)

    Sasa mnakubali anawadhoofisha subirini dozi iingie mwaka huu mpaka mtataga
  12. Ngongoseke

    JamiiForums Tanzania Makamu Mwenyekiti BAVICHA Taifa akamatwa na Polisi

    Mbona viongozi wetu majina yao yote yanatokea mikoa fulani tu? Au ndio kale kamsemo kana ukweli?
  13. Ngongoseke

    JamiiForums Tanzania Iran says they will destroy Tel Aviv in 10 minutes

    Sasa nani analialia hapa? Kawaida siwapendi wote Israel au Iran, lakini hapa Israel ndio anatafuta huruma ya dunia, kishamlamba Obama miguu mara ngapi kwa ajili ya Iran? Iran haitambui taifa la Israel, ndio maana juzi kwenye mkataba wa nyuklia Israel anaomba marekani japo aongeze kipengele cha...
  14. Ngongoseke

    JamiiForums Tanzania Al shabaab; ugaidi wa Dunia kwenye kiganja cha Marekani

    Hivi umeelewa mleta uzi alichokusudia kufikisha hapa? Tunataka chanzo cha hao kuuwawa hawajapigwa na manati hao, hizo silaha ziliwafikiaje? Sera za kibeberu ndio matokeo ya dunia ya leo
  15. Ngongoseke

    JamiiForums Tanzania Tamko la Al-Shabaab kufuatia mashambulizi ya kigaidi Garissa

    Sisi ndio al shabab tutaendelea kutwanga kenya mpaka tutaheshimiana tu, gwaride mnacheza kismayo na al shabab wanacheza kwata ndani ya kenya
Back
Top Bottom