kasuku mtu
JF-Expert Member
- Feb 21, 2013
- 321
- 94
Wadau mkutano Wa CHADEMA Mbeya vijijini ndio unaisha umeongozwa na mwenyekiti chadema mbeya
nimecheka sana leo hahahahaha hahahaha hahaha kumbe
Wadau mkutano Wa CHADEMA Mbeya vijijini ndio unaisha umeongozwa na mwenyekiti chadema mbeya
Naona Bwana Zito unajitahidi kuudhoofisha upinzani . Hongera sana.
Idadi ya wanamakambako sio hii kwa jinsi ninavyoifahamu.
Tupate basi na kilichozungumzwa.
Huo ni mwanzo kaka waambie cuf au nccr waende kuhutubia kama watapata idadi hiyo ya watu
Wadau mkutano Wa CHADEMA Mbeya vijijini ndio unaisha umeongozwa na mwenyekiti chadema mbeya
Mbona hutaji chama chetu pendwa ccm?
Wadau mkutano Wa CHADEMA Mbeya vijijini ndio unaisha umeongozwa na mwenyekiti chadema mbeya
Mimi sipo upande huo kwa hiyo sina taarifa zao
Kutoka katika huo umati! Wanachama wangapi wapya wamechukua Kadi!?
Hahahahahahah,vp hapo ingekua cdm ndugu?