Hii kamata kamata ni kukurupuka, eti wamekamata alshabab porini wana visu 3, unga kilo 50 wako 11, wanatv, na mikanda ya kivita. mfuko uliochorwa nanga.
Swali? Kuna kosa gani hapo?
kupinga kambi porini lazima uwe na visu na chakula? kweli tv porini lazima uwe na solar, eti mfuko umechorwa nanga...