Recent content by ngome

  1. ngome

    Kosa gani unalijutia hadi leo?

    TUlizana na mkeo huyo ni baraka kutoka kwa mungu ingawaje now unamuona nuksi endelea kusubiri utakuja pata malipo yalio mazuri mmno
  2. ngome

    Mkurugenzi wa Rita Tunaomba uchunguzi cheti cha kifo No 100000203415(MOSHI)/ tangazo la kifo BD 0668249(Dar)Marehemu kafia dar kaishi dar +mirathi mo

    Kuna mijitu ni minyama sana vipi unakula mali ya yatima? Naamini sheria itafuata mkondo wake
  3. ngome

    Hivi huyu mtu anayejiita Mfalme Zumaridi anatuchukuliaje?

    Hapa naona kunashida ya afya ya
  4. ngome

    Alimwambia mume wake aoe yeye yuko busy.

    ukweli ni kwamba hakuwa na mapenzi ya dhati na mumewe wamwanzo kwani kwenye mapenzi nafasi hupatikana
  5. ngome

    Faida 21 za maziwa na karafuu

    Mashaa-Allah
  6. ngome

    MJADALA: Baada ya Spika kujiuzulu ni hatua gani hufuata?

    Mimi ni mgeni hapa nchini nasubir wenyeji waje tusaidia
  7. ngome

    Maisha ya ndoa yana changamoto nyingi sana.

    Wawili wapenda nao wakigombana shika jembe ukalime wakipandana chukua kapu ukavune
  8. ngome

    Mapenzi yanaumiza

    Pole sana ili uweze kumsahau fanya ibada kwa wingingi pia tumia makombe ya sahau hivyo vitakusaidia
  9. ngome

    GSM umekuja kuwaliza Yanga na sio kuwainua. Time will tell

    Mfamaji haishi kutapatapa utopunyo wasipo kuwa makini watalia kilio cha mbwa mdomo juu
  10. ngome

    GE2020 Mtu timamu hawezi kushangilia matokeo haya

    Nibora vyama vya siasa vifutwe ni kher turudi katka mfumo wa chama kimoja hii itapendeza sana
  11. ngome

    Mtazamo: Upinzani Bungeni kwaheri?

    Muhimu amani tu msisahau kama wote tupo kwenye jahazi moya likizama tumezama wote na likavuka tumevuka wote
  12. ngome

    Kunani kwenye mwili wa Kagame

    Kagame ni kiongozi bora ndio maana anapitia majaribu mengi
Back
Top Bottom