Mafenesi yamekuwa dili Dar kila hatua mbili kuna kitoroli wanachambua na kuweka kwenye vikombe vya plastic yaelekea biashara nzuri. Ila kama vile usafi tatizo wenye u juzi watujuze
Mgombe Uraisi Edward Lowassa kesho atakuwa viwanja vya Tungi Kigamboni kuanzia saa 3 tutawajuza yatakayo endelea
Tutawajuza yatakayokuwa yakiendelea
Karibuni sana
Kivuko kinatumiwa na magari.maguta na baiskeli yanayosafirishwa vyakula na mbogamboga hizo zote zilipanda bei maradufu nauli si hoja sana ukulinganisha na bei ya vitu
tunataka mabadiliko
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.