Nilivyomkamata/nilivyompata mke wa pedeshee

Nilivyomkamata/nilivyompata mke wa pedeshee

Basi ikawa alivyokuwa akinitazama, nikamuuliza mbona huna amani?
Akanijibu tulia, nitakueleza mkasa ulivyo ( huku akibubujikwa na machozi)...
Ghafla ikabidi ninyanyuke na kisha nikafungua friji na kutoa juice ya limao iliyochanganywa na siki kidogo nikaimimina kwenye glass na kisha nikamsogelea karibu na kumnywesha....

Itaendelezwa....
Aghhh..ona mmemfanya hadi asiendelee
 
Huyu jamaa atakua kasahau heading ya uzi wake ndio maana kapotea
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom