Dili la Mafenesi Dar

NgomaNzito

JF-Expert Member
Jan 10, 2008
559
28
Mafenesi yamekuwa dili Dar kila hatua mbili kuna kitoroli wanachambua na kuweka kwenye vikombe vya plastic yaelekea biashara nzuri. Ila kama vile usafi tatizo wenye u juzi watujuze
 
sijawahi nunua sababu ni usafi duni katika uandaaji ingawa naona kwa wengi sio tatizo .
 
Back
Top Bottom