Huu ni msiba wa taifa hapa arusha watu wamekata tamaa hawaamin kilichotokea kila mahali ukipita watu wanahuzuni sana
Acheni kujifariji. Magufuli hahitaji tabasamu wala kelele za mtu. Anasema yeye ni kazi tu. Wengi hawana furaha kwa sababu walidanganyika na nyomi. Wakasahau nyomi sio kura. Sasa rais keshapatikana wala hahitaji tabasamu lako. Anataka ufanye kazi tu.
Acheni kujifariji. Magufuli hahitaji tabasamu wala kelele za mtu. Anasema yeye ni kazi tu. Wengi hawana furaha kwa sababu walidanganyika na nyomi. Wakasahau nyomi sio kura. Sasa rais keshapatikana wala hahitaji tabasamu lako. Anataka ufanye kazi tu.
Mimi ninasema nanitasema..Alaaniwe JANUARY MAKAMBA KWA KIPIMO ALICHOPIMIA WATANZANIA JAMII YANGU...January ulaaniwe na kwa kipimo hichohicho tena chakusukwa sukwa ndicho utakachopokea siku za usoni....January ulaaniwe kwa uratibu ulioufanya kwenye sekta ya mawasiliano mpka mkafanikiwa kukwapua haki za wavuja jasho...km Mungu aishivyo,haki haitapotea,KAMA KURA ZOTE MLIPATA KIHALALI BASI NA IWE BARAKA KWENU KM MTAJI WAKUBARIKIWA KTK MWANZO WENU...LKN KM MLIPATA USHINDI KWA HILA YEYOTE JANUARY MAKAMBA NAWENZAKO NASEMA KURA ZETU NAZIWE LAANA JUU YENU NA ipatilizwe kizazi chenu chote..
habari wadau.
Naona watu wote wanaonizunguka hawana furaha kabisa ni kama watu waliokata tamaa.
Nikiangalia status za watu social network, ofisini, kwenye dala dala.. Na hata mtaani kwangu watu wapo kimyaaa wana huzuni tele.
Hii ni changamoto kubwa sana kwa magufuli kufanya kazi kwa bidii kurudisha furaha kwa mamilion ya watanzania.
Kiukweli leo ni kama kuna msiba wa taifa.
si kweli wote tumepiga kura ila Mungu ndie anayejua Wakina Makamba walichokifanyaacheni kushabikia kitu ambacho hakipo katika nafsi yako. jipange vema kwa kazi zako hapo raha ndo itakuja we katika pocket yako no mia halafu unataka ufurahi na nini? tuache uongo pengine hukupiga hata kura cha ajabu unajisikia vibaya.. kwa lipi?
Makamba ndiye dhalimu wa kwanza pamoja na wenzake Laana iwe juu yake, Wametumia Masunduku ya Kura feki na Kuingila mtandao ili wabadili Alama za Lwassa na kumpa magufuli.si kweli wote tumepiga kura ila Mungu ndie anayejua Wakina Makamba walichokifanya