Dkt Magufuli kugwaya kwenda Kigamboni?

Dkt Magufuli kugwaya kwenda Kigamboni?

Hskuna anaemchukiya kigamboni tunamsubiri kwa hamu hata mbunge wake diwani wooote watchukua ccm
 
Dah na slogan yenu ya hapa kazi tu namwonea Huruma atakavyopiga mbizi kuomba kura za malofa na wapumbavu Wa kigamboni
 
Uzi huu haukuletwa na wanakigamboni bali umeletwa na mtu mwenye hisia dhaifu zenye lengo la kuwadhakilisha wana kigambini. Hivi kigamboni wanaishi walala hoi anbao hawawezi kumudu sh. 200 ? Mbona wana kigamboni wanamudu simu za bei mbaya zisizoishiwa salio. Mbona kitu chochote kinachosemwa na kikijulikana wazi kuwa hakiwezekani hugeuka kuwa utani? Ni mwanakigamboni gani aliyejaribu kupiga mbizi kufuatia tamko la Magufuli? Watanzania tuache kujitoa ufahamu. Tujiongeze!
Kwa hiyo magufuli aliongeza bei ya kivuko akijigamba kama wewe? Kwàmba kigamboni hawaishi walala hoi? Basi atapigiwa na mabwanyenye sisi adhabu yetu kwake aapige mbizi na akifanya hivyo tutampa kura zote
 
Mwenzie ameshaenda CHATO...na yeye aende monduli tuone mambo...

Ha ha ITAKUA HATARI MALORI YATAHUSIKA SANA ILA WASISAHAU KUVAA KIMASAI NA KUTOBOA MASIKIO MAANA WATAUMBUKA MCHANA KWEUPE!!!!!!!!
 
Una uhakika na unachokipost? au unalopoka tuu ili nawe uonekane
 
Pumbavu kabisa anesema 200 sio kubwa,na hata ingekuwa ni ndogo lakini kiongozi hupaswi kuongea lugha za kuudhi
 
Pumbavu kabisa anesema 200 sio kubwa,na hata ingekuwa ni ndogo lakini kiongozi hupaswi kuongea lugha za kuudhi
Kivuko kinatumiwa na magari.maguta na baiskeli yanayosafirishwa vyakula na mbogamboga hizo zote zilipanda bei maradufu nauli si hoja sana ukulinganisha na bei ya vitu
tunataka mabadiliko
 
Uzi huu haukuletwa na wanakigamboni bali umeletwa na mtu mwenye hisia dhaifu zenye lengo la kuwadhakilisha wana kigambini. Hivi kigamboni wanaishi walala hoi anbao hawawezi kumudu sh. 200 ? Mbona wana kigamboni wanamudu simu za bei mbaya zisizoishiwa salio. Mbona kitu chochote kinachosemwa na kikijulikana wazi kuwa hakiwezekani hugeuka kuwa utani? Ni mwanakigamboni gani aliyejaribu kupiga mbizi kufuatia tamko la Magufuli? Watanzania tuache kujitoa ufahamu. Tujiongeze!

wee ikashi, pole sana - si kosa lako bali ni maguu-fool ambaye hana feelings za maisha ya walalahoi kwa kuwa yeye kazoea kukeremua tu (ku-cram) formula za hisabati na kemia. huyu mtu maguu-fool hafai kabisa kuwa rais, kama unavyosema na kuthibitisha kuwa kawadhalilisha si wana-kigamboni pekee, bali watanzania wooote hohehahe na walio wanyonge wasio na unasaba/undugu na mafisadi wa sisyemu.

huyu kima akichaguliwa ataendeleza dharau zake kwa kejeli huku akisema mlininukuu vibaya pindi atakapoulizwa utekelezaji wa ahadi zake. kikao cha dharura.
hah hah haa, ... eti saddam hussein alikuwa rais wa kuwait, huh! akichaguliwa, atapeleka maji central tanzania kwa ndege. sijui kama wanafunzi wa huyu bwana bado hawajachanfanya makemikoo huko waliko, ... duuuh!

maskini wa mungu, huyu kichekesho cha mwaka ameproove kuwa masysyemu hayana election manifesto, na ile waliyoizindua ilikuwa geresha tu. si unaona sasa kila mkutano wa kampeni zake anahubiri na kuungurumisha sera za UKAWA na Lowassa - amesahau kabisa takataka yao. aibu! hana hata mishipa ya aibu huyu, na timu yake ya 32, wanakopi kila kitu inkludingi logo and slogans - ay ya ya ya ya yaaaaaaaaah! hii inadhibitisha kuwa kipaumbele nchini tz ni ilimu, ilimu, na ilimu kwa kuwa masisyemu yameshindwa vibaya sana katika hili.
usistaajabu hakuna herufi kubwa mwanzini mwa sentensi/paragraph - ni ilimu ya sysyemu imepelekea hayo yote.

mtanzania, una nafasi muhimu sana ya kuiokoa na kuikomboa nchi yako hapo oktoba 25, 2015:

CHAGUA MABADILIKO
CHAGUA LOWASSA
CHAGUA UKAWA
 
Una uhakika na unachokipost? au unalopoka tuu ili nawe uonekane

hah hah haaa, naona dawa inapenyeza na kukuingia taaaratiiiib! kitaekeweka tu ifikapo october 25th. pole ndugu, hakuna jinsi, bali vumilia tu. ndiyo maisha hayo.
 
Uzi huu haukuletwa na wanakigamboni bali umeletwa na mtu mwenye hisia dhaifu zenye lengo la kuwadhakilisha wana kigambini. Hivi kigamboni wanaishi walala hoi anbao hawawezi kumudu sh. 200 ? Mbona wana kigamboni wanamudu simu za bei mbaya zisizoishiwa salio. Mbona kitu chochote kinachosemwa na kikijulikana wazi kuwa hakiwezekani hugeuka kuwa utani? Ni mwanakigamboni gani aliyejaribu kupiga mbizi kufuatia tamko la Magufuli? Watanzania tuache kujitoa ufahamu. Tujiongeze!

Daaah!!! Viongozi wangekuwa na utani namna hii hao waliondelea wasingekuwa wamesonga mbele lkn kwa sababu sisi HAPA NI UTANI TU ndiyo maana tumefika hapa tulipo.

Lkn lile tamko la kupiga mbizi alitamka kwamba ni utani au alikuwa serious ?
Think twice as a laeder alipaswa kutamka maneno yale?

Acha avune alichopanda.
 
heh hee, hata yule mukulu saana jeikei (eti alikopi hizo inishios zifanane na jina la mchonga) naye alikuwa ANATANIA TU, katika kale kamradi kake halali ka Richimondi - ili kawaletee akina Liziwanu kamboga kidogo.

kweli, kwa hawa masysyemu, ... #HAPAUTANITU

MABADILIKO HOYEE
LOWASSA HOYEE
SEIF CHARIF HOYEE
UKAWA JUUU
Pii-poooooooooooooozzzzzz!

WATU na malofa kibao (kwa pamoja, na kwa nguvu): Pa-waaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!

(basi hapo watoto wote wa mafisadi wa sysyemu kama jmarope, kanepi na-unye na wengineo, mapigo ya moyo yanachenji na miguu inakosa nguvu na kususa kutoa ushirikiano kwa viungo vingine vya mwili. wanafadhaiiika kabisa. huruma. bahati mbaya maji hayapandi kilima bsli huteremka tu).
 
Mkuu tetesi ameahidi kesho 21/10/2015 atapiga mbizi ilitushuhudie kuwa anaweza kama alivyofanya na mapush up!
 
Back
Top Bottom