Hivi wewe unayemtetea kikwete, mwenzetu waishi shimo gani.? Acheni unafiki kikwete nchi IMEMSHINDA, mwenye raha labda ni, jambazi, fisadi au muuza madawa ya kulevya!
Mama popote hata kwa WAZAZI WAKO kama huna adabu, unamwambia BABAKO hata mimi ninaweza kukuzaa, utakachoambulia ni laana na kuokota na kuishia kuokota makopo. Wamebembelezwa sana wakakataa, walichokipata ni saizi yao, waende ccm wanakostahili.
Kubwabwaja kwa ole sendeka wakati kapitisha na kuiunga mkono budget 100% maana yake nini!? Wamdanganya nani wewe? Nawe ni gamba tu, wapaswa uvuliwe mara moja, mnafiki mkubwa.
Hao wenyeviti watambue kuwa shuka likichafuka sio kupulizia perfume bali ni kulifua. Na kitanda chenye kunguni ni kuchoma moto tu. LOWASSA NA CHENGE ni bora kuliko CCM!?? Wa Tz tunaona, tunasikia, tunafuatilia na kuyajadili yoote. OLE WENU, mwendelee kuwa na kigugumizi, mtakiona 2015.
Kikwete anaogopa kivuri chake, anakikwepa na kukikimbia. HANA MAAMUZI MAGUMU, hana ubavu wa kutamka chochote kwa Lowassa, anaogopa akimwaga ugali, Lowassa atamwaga mboga. Dawa ni 2015 ni kuitupa mbali sana CCM.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.