Elections 2010 CHADEMA nani kawaroga?

Kaitaba

JF-Expert Member
Jun 30, 2009
916
52
Wakati wenzao wankusanya nguvu, wao CHADEMA wanatimuana kwa mambo ambayo yangetatuliwa kwa busara zaidi kuliko kutimuana.
 
We hujui kutimua madiwani ni Legacy kwa CDM potelea mbali hata kama watakwisha madiwani wote.Teeeeh.....Teeeeh
 
wakati wenzao wankusanya nguvu, wao CHADEMA wanatimuana kwa mambo ambayo yangetatuliwa kwa busara zaidi kuliko kutimuana,
Broda, unaongelea busara gani zaidi ya ile ya kuwajulisha kuwa wamekosa, na kuwataka waombe msamaha, lakini wao kukaidi? Kwani hujui kuwa kwa busara iliyotumika kuna wenye akili zao walioamua kujirudi na kukiri kwenda kinyume na Uongozi?

Hakuna sababu ya kuendelea kubembelezana na wapumbavu!
Bravo cdm!
 
Kwani wewe umerogwa na nani mpaka ukaleta hii crap hapa??
Kwa mara ya pili, SweetLady umenichakachua tena jana!...Lakini nakusamehe!

Huyu jamaa bado hajaeleweka!...WANAOKUSANYA NGUVU NI AKINA NANI? Kama anaongelea magamba ni kwamba wanakusanya nguvu za kutimuana....
Nadhani ameamua kujifurahisha jukwaani tu huyu!
 
Kwa mara ya pili, SweetLady umenichakachua tena jana!...Lakini nakusamehe!

Huyu jamaa bado hajaeleweka!...WANAOKUSANYA NGUVU NI AKINA NANI? Kama anaongelea magamba ni kwamba wanakusanya nguvu za kutimuana....
Nadhani ameamua kujifurahisha jukwaani tu huyu!
Nashukuru kwa msamaha!..lol...
Anajifurahisha sio mchezo! Hana jipya.
 
Mama popote hata kwa WAZAZI WAKO kama huna adabu, unamwambia BABAKO hata mimi ninaweza kukuzaa, utakachoambulia ni laana na kuokota na kuishia kuokota makopo. Wamebembelezwa sana wakakataa, walichokipata ni saizi yao, waende ccm wanakostahili.
 
Mtu ambaye haoni kwamba Chadema wamefanya jambo la maana ni mwendawazimu. Na huenda karogwa kutumia magamba, maana wao kuchukua maamuzi magumu kwao ni mwiko. Kazi kubwekw kwenye majukwaa lakini vitendo sifuri!
 
Lazima kufanya maamuzi magumu, we always preach on 'taking calculated risks' ndio hivyo wanaweza wapoteze jimbo la Arusha but wamesimamia wanachokiamini, kudos to them


Leo nimesoma hoja ya Danny Mwaijenga I just couldn't help it but wonder the irony and truth ya hoja ile

Danny ameelezea wazi wabunge hawa wa CCM wangekuwa makini 15yrs back, no one will dare err and keep their posts! Madudu yote haya ni kwaajili ya kutowajibika au kuwajibishwa,

Hivyo nawapongeza CDM kwa maamuzi magumu
 
wakati wenzao wankusanya nguvu, wao CHADEMA wanatimuana kwa mambo ambayo yangetatuliwa kwa busara zaidi kuliko kutimuana,
<br />
<br />
Ni wapumbavu tu wanaowaza kulea wajinga ni kufurahisha wapiga kura.
Lazima CHADEMA, Itofautiane na Mahayawani wa ccm.
Hatuwezi kuendesha Chama kama bila nidhamu na Maadili.
Wengi wanaolaani kufukuzwa kwa madiwani, ni wale waodhani CDM inaiga kasumba za kulindana za ccm.
Bado mmoja, huyu ni mbunge msaliti. Atahukumiwa kwa hamu.
 
Kwanini hili swala moja la Madiwani wa CDM lisiwe na thread moja kila mtu akiwa na hoja ya kuchangia anafungua thread yake!

Maajabu sana haya maneno huyu bwana angeweza kuyajadili katika thread mama ya issue ya madiwani kutimuliwa, mna wapa mods kazi bure alafu baadae mnawalau tena
 
CCM ilikufa pale cc ilipopoteza mwelekeo na kushindwa kusimamia nidhamu, maagaizo na kanuni ndani ya chama. Walichokifanya CHADEMA ni declaration kwamba kama chama kila mdau anatakiwa afuate katiba ya chama, na ukienda kinyume taratibu za kichama zitachukiliwa.

Kwa upande mwingine huu ni mtihani kwa CCM - je wanaweza kurudisha nidhamu ndani ya chama chao?
 
Back
Top Bottom