Mtu ameoa miaka miwili na nusu tu unasea amaehangaika sana kupata mtoto?
Waambie wavumiliane hizo ndizo changamoto za ndoa ukifika wakati Mungu amepanga watapata mtoto waache kufikiria uzinzi
Mkuu umesema huwezi kuwaona paka wakifanya mapenzi kama ilivyo kwa wanyama wengine lakini hapo hapo unatuambia paka dume akimwaga mbegu kwa jike,jike anagaragara chini kama amemwagiwa maji ya moto..
Hii ya jike kugaragara akimwagiwa mbegu ilionekana wapi?
Hapana aisee..
Hapa kuna kitu hakipo sawa,kwa nini asingezuia kabla?watu wameshapata hasara na walishaenda huko walipopelekwa leo anasema warudi?
Taatifa za kuondoshwa zilikiwepo muda mrefu na hata kwenye vyombo vya habari tuliona wananchi wakilia wakiomba wasiondolewe hakuna aliyejitokeza...
Hayo siyo mauaji,kinachofanyika hapo ni stunning kumfanya apoteze fahamu(unconcious) ndio anachinjwa..hilo ni jambo la kawaida kwa kuzingatia haki za wanyama na hata ng'ombe pia wanafanyiwa stunning kabla ya kuchinjwa hii inafacilitate bleeding lakini pia inaongeza ubora wa nyama
Nenda kalazwe wewe ndio utajua uzuri wa hospitali ni vitanda au huduma!
Huduma za muhimbili bado ni mahututi,rafiki yangu amehamishwa pale MOI juzi j3 baada ya kukaa mwezi mzima bila huduma na alishaandikiwa upasuaji wa nyonga tena alikuwa kwenye wodi aliyoitembelea Magufuli
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.