Vitaimana
JF-Expert Member
- Nov 2, 2013
- 3,531
- 1,570
Ha ha ha ili apate kutumia Holatel? Kwanini yenyewe isiende kule?kwanini usihamie dar?
Ha ha ha ili apate kutumia Holatel? Kwanini yenyewe isiende kule?kwanini usihamie dar?
wacha nijiunge nijionee mwenyeweHalotel wapo vzr mno
Tukiacha unafiki hawa jamaa wapo juu sn
Nipo KIRANDO huku ziwa Tanganyika mitandao mingine hovyo kabisa lakini hallotel inakimbiza
Vifurushi c tatizoBei ya vifurushi ndio tatizo.. Ngoja nibaki na airtel yangu..
mimi niliposikia wanashindwa kuwalipa wafanyakazi wao mishahara hadi wanagoma, nikakosa nao imani, nikaona ni wababaishaji hadi kwenye hudumaReal G si kujaribu ni uhakika
*148*66#naomba muniwekee jinsi ya kuunga hizo unlimited bundles na kiasi unacholipia.
Ingia settings>mobile network>access point names>apns>new apn>kweny name andika HALOTEL_APN kweny apn andika internet, apn type weka default, username mms kuisha save baad ya hapo endelea kufurahia hudum nzur za halotelNaomba kuelekezwa jinsi ya kuweka settings za halotel, maana Jana nimejiunga na bando la chuo lkn sipati mtandao kabisa.