Wabunge wa CHADEMA hawajafanya jambo la busara

Wabunge wa CHADEMA hawajafanya jambo la busara

Mkenya gani wewe poyoyo unaongea kiswahili cha Mkuranga?! Au ninyi ndio wale makaka wa kule Mitaa ya Shimoni Mombasa

Aa wapi mkuu,mkuranga ata sijui ni wapi kaka mimi si wa pwani kwetu kajiado umaasaini huku Kenya.
 
Hapa kazi tuu ukishindwa pita hivi...... Mpaka mjitambue kama watu wa k /njaro na Arusha
 
Siwezi ongelea uchaguzi wa tz sana kama mkenya lakini umenikumbusha Uhuru akiapishwa aliyeshindwa uchaguzi Raila na mgombea mwenza wake Kalonzo walikuwa eti south afrika 'holiday'.Nilichukizwa sana na tabia hiyo ya kitoto na isiyo ya kizalendo.Urais ni wa kuunganisha nchi yote kwa jumla haijalishi nani kaketi kwenye kiti hicho.

Huo urais wa kuunganisha nchi unakua umepatikanaje?
 
nyie mna viongozi wenu na wa chadema wana viongozi wao,kwa hiyo mlichoona msishangae
 
Siwezi ongelea uchaguzi wa tz sana kama mkenya lakini umenikumbusha Uhuru akiapishwa aliyeshindwa uchaguzi Raila na mgombea mwenza wake Kalonzo walikuwa eti south afrika 'holiday'.Nilichukizwa sana na tabia hiyo ya kitoto na isiyo ya kizalendo.Urais ni wa kuunganisha nchi yote kwa jumla haijalishi nani kaketi kwenye kiti hicho.

Dunia ya kinafiki! Unafanya hila zote, unaiba na kunyang'anya, unabagua, unaua na kutesa halafu uunganishe nchi?! Hata Zanzibar tutaambiwa shein anang'ang'ania ili aunganishe nchi!
 
Kwani hata wewe si umeambiwa usiende kazini, na badala yake ufike uwanja wa Uhuru so nani kakuzuia? Au wale wote walioitika kutokwenda kazin wamefika ktk uwanja wa Uhuru? Chadema ni taasisi sio genge la watu fulani.

Genge la akina Sumae na mbowe
 
Wabunge hao wamezuiliwa kuhudhuria kwenye sherehe ya kuapishwa Rais Magufuli jambo ambalo halipendezi hata kidogo.
Swali kwao ni kwamba, kama leo wamegoma je, siku ya kulihutubia bunge tarehe 17 napo watagoma kwenda?

Nchi nyingi za kaskazini hasa za Scandinavia, Uswiss, Ujerumani na nyingine nyingi za eneo lile, kazi ya urais huaga wanawaachia mademu wanaume wanashughulika na kazi za ujenzi wa taifa.
 
Wabunge hao wamezuiliwa kuhudhuria kwenye sherehe ya kuapishwa Rais Magufuli jambo ambalo halipendezi hata kidogo.
Swali kwao ni kwamba, kama leo wamegoma je, siku ya kulihutubia bunge tarehe 17 napo watagoma kwenda?

Wangehudhuria ningewashangaa sana. Hata Wasira hatahudhuria na hatasherekea kuapishwa kwa Bulaya, Mwakalebela hatahudhuria na hatasherekea kuapishwa kwa Msigwa, n.k.
 
Subiri utajua kama wanapenda pesa za posho au la...Maana Mbowe nae tutamuona.

Bora wajipange kwenda kuongelea masuala ya kuendeleza nchi na sio kudai kura ambazo hawajui kuwa kuna watanzania hawakuwapigia kura ya prez chadema.
 
Wamesoma lakini hawajui siasa, hii ni namna ya kumfariji lowassa ili aone bado wako pamoja. Kiukweli chadema wameanza vibaya sana!!!
 
matatizo ya kuchungulia bibi zenu wakiwa chooni unakurupuka na swali la kupuuzi we si ulienda kwani hajaapishwa?mijitu mingine haina tofauti na banda la kitimoto!
 
Magufuli ni Rais wa NEC na CCM..si chagua la watanzania Bali la Lubuva.
 
Wamesoma lakini hawajui siasa, hii ni namna ya kumfariji lowassa ili aone bado wako pamoja. Kiukweli chadema wameanza vibaya sana!!!

Aloapishwa naye kasema hajui siasa, je nae hajasoma? Tume huru ya uchaguzi ili kuzuia bao la mkono ndo hoja muhimu kwa wakati huu.
 
Mimi wakigoma kuapishwa ili wawe wabunge nitaamini ni wazarendo kweli lakini wakikubali kuapishwa harafu siku Mh rais anahutubia bunge wanaondoka nitawaona ndezi tu pengine Labda wanataka kwenda kunywa juice kwa Mara nyingine ikulu ila Mh yule sidhani kama atawaita kunywa ikulu.
 
Back
Top Bottom