Habarini wanajamii forum
Mimi ni kijana ninayetaka kujiajiri kwenye kilimo na ufugaji. Ninaomba mnipe taarifa za mahali ninakoweza kupata shamba, na bei zake kwa heka. Ila kuwe na uhakika wa maji kama vile mto ama bwawa maana ninataka kufanya kilimo cha umwagiliaji. Mwenye taarifa sahihi...
Habarini wanajamii forum
Mimi ni kijana ninayetaka kujiajiri kwenye kilimo na ufugaji. Ninaomba mnipe taarifa za mahali ninakoweza kupata shamba, na bei zake kwa heka. Ila kuwe na uhakika wa maji kama vile mto ama bwawa maana ninataka kufanya kilimo cha umwagiliaji. Mwenye taarifa sahihi...
Habarini wanajamii forum,
Mimi ni kijana ninayetaka kujiajiri kwenye Kilimo na ufugaji. Ninaomba mnipe taarifa za mahali ninakoweza kupata shamba, na bei zake kwa heka.Ila kuwe na uhakika wa maji kama vile mto ama bwawa maana ninataka kufanya kilimo cha umwagiliaji.
Mwenye taarifa sahihi...
Jaman mimi niliomba kusoma diploma pale MUHAS lakini mpaka leo nikiingia kwenye website yao sioni selection zao.Je ztatoka ln? Jambo hili linanichanganya sana kwa kuwa niliomba nafasi pale TIA na DIT nkapata ila kwa kuwa nilikuwa napenda kozi za afya nimeshindwa kwenda kufanya usajili na pale...
Naomba kupata taarifa zifuatazo kwa anayefahamu.
Napenda kuwekeza kwenye kilimo. Hivyo ningependa kujua maeneo ambayo naweza kupata shamba lenye rutuba katika mkoa wa Morogoro ama Tanga. Tafadhari naomba iwe ni sehemu ambayo inakubali kilimo cha mazao tofauti tofauti kama vile Mahindi...
Hili ndo tatzo letu watanzania hua hatufatilii mambo kwa kina. Ila iko hv Zitto hana jeuri ya kujing'oa CHADEMA labda ang'olewe. Mwanasiasa kuhama chama wakati wa mgogoro akabaki na umaarufu wake na akaendelea kushika madaraka ni mchezo wa potea 80% na pata 20% na hilo zitto analijua mana ni...
Ila 2siige tabia zao za kupenda kufanya biashara kwa madawa(wengi washawatoa wazaz na ndugu zao sadaka) na pia rushwa washkapo nyadhifa kwenye makampuni na serikalini
Hv unajua wamarekan wali2mia ndege za kijeshi kunyunyuzia sumu kwenye mashamba ya wa-vetnum ila chakula na mifugo visistawi ili waate njaa ili wavet washindwe vita kirahisi?
Huijui hii USA ww kaa kmya wanapotoa msaada jua wanafaidika mara 5 ama zaidi ya kile walichokitoa. Na muda mwingine hua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.