- Thread starter
- #61
Mkuu...usharejea kutoka Visiwani?!
Tayari nsharejea mkuu
Mkuu...usharejea kutoka Visiwani?!
Unaamsha hisia zangu
Hongera mkuu. Nimehitaji kufanya kilimo cha namna hii maana kwa utafiti wangu mdogo nimeona kinadharia kuwa kila mmea wa nyanya unaweza kuzaa hadi kilo 25. vipi ni sahihi?
sasa si uwe!Hongera Ngosha. Natamani ningekuwa risk taker kama wewe
nataka niuze nyumba nianze hicho kilimoMiaka mitatu ilopita nilinunua nusu eka pale mlandizi,nikaweka pilipili kali na kuhakikisha hazitegemei mvua, mwaka uliofuatia nikaweza kununua eka nne hukohuko mlandizi, nililima nyanya nusu ya eneo na lililobaki nikaendelea na pilipili, nyanya zinahitaji maji mengi sana kwa hiyo niliziacha zitegemee mvua, pilipili maji lita kwa wiki yanatosha, Mungu kasaidia mwaka huu nimefanikiwa kujenga greenhouse, nashukuru Mungu malengo yangu yameanza kutimia. Starehe napenda lkn nilijitahidi kuzizuia zisiingilie mipango yangu
attachment ni mfano wa vitu vyenyewe
Nashukuru ndg sawa, determination na focus zinasaidia sana