Recent content by Ngathuyavome

  1. Ngathuyavome

    Wahalifu wa chadema/ukawa kazi kwenu!

    Naona unakomaa kuwaita ukawa waalifu wakati watanzania wengi wameshaelewa Serekali na polisi ndio wanaofanya ualifu kwakunyima ukawa haki yao ya kikatiba kuongelea mambo ya msingi kama ubabe bungeni kuzuia mijadala bungeni kama kufumbiwa macho kwa utekelezaji wa hukumu ya ESCROW na kupigania...
  2. Ngathuyavome

    Kila nikiikumbuka ESCROW siitaki kuisikia CCM!

    Usimpe FaizaFoxy sifa asiostaihili. Kwa udini wake Kutwa yupo hapa akimtetea --------- akizani ni mwislamu mwenzake huku hata ganji ajapata.
  3. Ngathuyavome

    Hivi Magufuli ameshawahi kugusia suala la "ESCROW"

    Ha ha ha. Lakini hata mgombea wa ACT na mfazili wao Zito kabwe aongelei. Hata Dr. Slaa, Warioba, awaliongelei swala la ESCROW. Waandishi wa havari awailizi ili swali tena kwa viongozi wakiwa majukwaani na press conference. Kilamtu anaogopa kuongelea walibeba hela STANBIC kwa viroba
  4. Ngathuyavome

    Kusema utapambana na Ufisadi bila Katiba mpya ni uongo

    Viongozi aina ya nyerere hadimu sana. Viongozi wasasa wanaitaji viboko, jela, icc na sheria za kufilisi mali za viongozi ikufanya kazi kwauadiligu.
  5. Ngathuyavome

    Mwanamke kutoka India ‘akatwa mkono’ Saudia

    Ukatili wa wasaudi dunia nzima inaudahamu.
  6. Ngathuyavome

    Mbunge wa Babati wa CCM avaa Dela kuomba kura

    Nazani kunamjitu CCM ilikuwa ikiona madaraka ni haki yao na kujiamini kupita kiasi. Sasa wameona hali ngumu yanakurupuka na kufanya vituko kama hivi
  7. Ngathuyavome

    Chinese 'Ivory Queen' smuggling suspect Yang Feng Glan arrested in Tanzania

    Wow. I bet there were some top government officials protecting her all that time and will not face justice
  8. Ngathuyavome

    Wafanyakazi waliosambaza Video ya Dr. Slaa akiingia chumbani Serena Hotel wafukuzwa kazi

    No. Ethically she was a whistleblower exposing political corruption and political campaign misconduct.
  9. Ngathuyavome

    Magufuli kumnadi Chenge leo

    Natamani kuona kama makufuli atasema neno fisadi mbele ya chenge bila kuangalia chini
  10. Ngathuyavome

    Magufuli kuwabana vigogo wa CCM

    Mkuu umesema la maana
  11. Ngathuyavome

    Askofu Josephat Gwajima amjibu Dr. Slaa

    Mbona tangu mwanzoni aliweka wazi kuwa asemi kama za ukweli au uongo. Yeye ameongelea dini zote buda, ukristo na uislam zilivuma kwa wakati wake.
  12. Ngathuyavome

    Askofu Josephat Gwajima amjibu Dr. Slaa

    Jamani vifurushi vyetu wengine ni vyakuchechemea.
  13. Ngathuyavome

    Dr. Slaa umewapa mabinti msemo ambao unatudhalilisha vijana

    Ndio maana wakenya wanasema wabongo tunamaneno mengi na hakuna vitendo.
  14. Ngathuyavome

    Maoni ya Wadau baada ya Hotuba ya Rais Kikwete kwa 'Wazee wa Dar' kuhusu Sakata la Tegeta Escrow

    Sijui kwanini ukawa hawaongelei hii kitu kila siku. Ningekuwa mgombea wa ukawa ningekuwa nakuja na picha za watu walobeba viroba vya hela na kuvaaa nguo za kijani kwenye kampein
  15. Ngathuyavome

    Slaa amwangukia Mchungaji Gwajima

    Duh. Leo umetambua Udaktari wa kanon?
Back
Top Bottom