Slaa amwangukia Mchungaji Gwajima

Slaa amwangukia Mchungaji Gwajima




chanzo gazeti la nyakati!....

hahaha give us a break.... nyie mnasabisha huyu mzee anarudi tena hewani kupinga huu uzushi maana alishaongea huku akiendelea kuwakandamiza ukawa ...mngekaa kimya ingekuwa vizuri zaidi...

nanukuu

" askofu gwajima.. mbele ya mbowe, na lisu alisema ameshuhudia maaskofu wakihongwa milioni 60" - Maneno ya slaa aliyarudia tena Star TV ...

ngwajima ni msanii! mnakumbuka kuna msukule ulimuumbua...! ? kumbe anakodi wale watu...
Bahati mbaya siyo Gwajima aliyenena kwa umma bali ni Dr Slaa. Kwa kauli yake umma na waumini wa Katoliki wameaminishwakuwa vionģozi wao wameinigia katika mtego wa rudhwa. Hii kwangu mimi inanipa shida, Padre Mkatoliki kuwahusisha Maaskofu wake (kiukweli ni Kanisa zima la Tanzania) kwa rushwa! Dr Slaa alipaswa kufikiria zaidi kabla ya kutamka haya.
 
Hicho siyo kijarida cha Gwajima?

Na dhambi zake zote, Babu daktari wa kanoni padri Dr.W.Slaa akamuangukie mchungaji anaetumia mapepo machafu?

Haiingii akilini hata chembe.

Dada achana nao wapuuzi hawa na ulokole wa kinafiki. Hivi uaskofu mmaujua au mnausikia tu? Gwajima ataungua ktk jehanam ya milele. Dr sio size yake kabisa. Hicho kigazeti nakijua vizuri mno...tena bora ninyamaze tu
 
Last edited by a moderator:
"when a stupid man is doing something he is ashamed of, he always declares that it is his duty"

George Bernard Shaw 1948

Dr. Slaa anajua the way tunafikiri juu yake, ndio maana anasisitiza kuwa NI WAJIBU WAKE KAMA MTANZANIA KUTUMIWA NA CCM. Hayo maneno kayasema mtu mwenye miaka 102, miaka miwili kabla hajafa

Good thing ni kwamba amekiri tuhuma zote ikiwemo kulindwa na maofisa usalama wa Taifa, kuishi hotelin Serena kwa zaidi ya mwezi sasa...kwenda Serengeti kufanya vikao na maofisa wa CCM, kukutana na Dk Mwakyembe saa chache kabla ya kukutana na waandishi wa habari...

Mwisho wa siku naamini atakiri hata ile tuhuma kubwa ya kununuliwa kwa dau kubwa na CCM!
 

Attachments

  • 1441521423655.jpg
    1441521423655.jpg
    63.1 KB · Views: 372
Hicho siyo kijarida cha Gwajima?

Na dhambi zake zote, Babu daktari wa kanoni padri Dr.W.Slaa akamuangukie mchungaji anaetumia mapepo machafu?

Haiingii akilini hata chembe.

Kweli haingii akilini hata chembe kumwona ustaadhina mfiadini
Akimsifia kafri.

Aisee! Watu wanasahau itikadi zao misingi yao.

Nawaza tu
 
Last edited by a moderator:
Sijawahi sikia mwanasiasa kama slaa aliyekufa kwa saa moja
 
Kwa mtu makini na kwa nyakati zilizopo ss kwa watu binafsi kununua vyombo vya habari ili viwe upande wako, huwezi tu kuanza kujudge kwa maandishi ya magazeti, tena heading tu? Nadhani angalau ata mngesoma na kilichomo ndani, kwa jinsi ninavyomfahamu dr.slaa hawezi kumuangukia uyo mshenga hata iweje so tupate habari kina kuhusiana na hili ndio tuseme tunayoyasema kuhusu dr.slaa
 
Uislam hautoweza kuangamizwa na yeyote yule, unazidi kushamiri na kukuwa kwa kasi duniani kote - kumbuka hilo.

sawa kabisa tumeona na wale waislamu waliofukuzwa Syria na Iraq na weislam wenzao wameingia Ulaya nifuja kwa kwenda mbele,na hapa Tanzania mnazidi kuoa dada zetu Wakristo kwa nia ovu ya kueneza dini
 
Uislam hautoweza kuangamizwa na yeyote yule, unazidi kushamiri na kukuwa kwa kasi duniani kote - kumbuka hilo.
huu ni mwaka wa 2015 tangu yesu Kristo alipokuja duniani.... Kwa waislamu huu n mwaka wa ngapi? Na kwanini mnatumia miaka ya kikristo?
 
Azam 2 toeni basi angalau ratiba fupi ya mahojiano ya tido na Slaa kwa maana Makatuni tumeyaona na sasa tena DW Tv story.!
 
Hicho siyo kijarida cha Gwajima?

Na dhambi zake zote, Babu daktari wa kanoni padri Dr.W.Slaa akamuangukie mchungaji anaetumia mapepo machafu?

Haiingii akilini hata chembe.

Hawa wachungaji sijui maaskofu wa kujipachika wanazingua sana. Badala ya kuhubiri injili anakalia kuhubiri malimwengu...
 
Last edited by a moderator:
Uislam hautoweza kuangamizwa na yeyote yule, unazidi kushamiri na kukuwa kwa kasi duniani kote - kumbuka hilo.
Mimi siongelei nchi nyingine naongelea tanzania, ngoja nikupe tafakuri ndogo tu, inderectly jinsi ccm ilivyoleya umaskini kwenye jamii ya pwani ntaandika in codede language(kwa mafumbo) unajua ccm imesababisha umaskini sana hasa maeneo ya pwani na umaskini umesababisha vijana wengi hasa wa kiislamu kujiingiza kwenye vitendo au matendo ambayo hayapendezi mfano ukahaba na mambo ka bongo fleva nk kutokana na kutafuta kipato, mfano vijana wa kiislamu walioko bongo fleva
1.ali kiba
3.nasibu abduli(diamond)
4.samir(mr blue)
5.shetan
6.dully
7.mwana fa
8.mwasiti
9.shilole
Na wengine wengi karibia 90%, unajua kwa nini wapo huko ni kwa sababu ya kutafuta njia rahisi ya kutoka hasa baada ya ccm kuleta umaskini mkubwa kwenye jamii yenye waislamu wengi. Hapo nimekupa mfano obvious ila ukienda kwenye ukahaba nenda buguruni pale uliza kati ya machangudoa 5 wanne wanamajina ya kiislamu
Anyway nisiongee sana, ila mimi nakuonaga unavyotetea uslamu huku unatetea ccm iendelee kutawala na kati kuna impact kibao kwenye uislamu huwa sielewi..!? Au ni unafki sijui.!? Au ni njaa unapata kula kupitia ccm.?! Au ni mtoto wa kigogo wa chama na huku unaipenda dini.? Sielewagi kabisa..?! Ila nikuache bana..? Allah ndo mjuzi zaidi na katujalia upeo tofauti wa kuangalia mambo ila angalia watu ka kina nuhu mziwanda, wema, shamsa ford, qchillah na wasanii wengine wengi watoto wa kiislamu wanakimbilia huko kwa sababu ya umaskini ulioletwa na DUBWANA ccm, kila la heri ila wanafki watatupwa daraja la chini kabisa la moto.
 
SLAA namwangalia kwa angle nyingi
ila angle nyingine anareflect ile tabia ya watanzania wengi kuwa na papara, na kushidwa kumalizia vitu tulivyo vianzisha, na kukata tamaa, na hii ipo hata kwa vijana, wanashidwa kumalizia masomo, kazi, mipango ya maisha kwa tamaa na papara, kwenye hili slaa alifanya papara sana, hata kama ni mke kamlainisha lakini angetumia akili ya kuzaliwa kukwepa kiunzi, ila kaingia kichwa kichwa mbaya..
naskia ana mahijiano na tido, ningekuwa ni tido mhando slaa angekimbia studio, ningemchapa maswali na facts mpaka apate kiharusi

Mkuu umenifanya nicheke sana
 
Back
Top Bottom