MAHANJU
JF-Expert Member
- Aug 26, 2014
- 5,255
- 8,027
- Thread starter
- #61
Sasa kama hajawahi kukemea kashfa yeyote ya ufisadi bungeni sasa atasema nini akiwa Rais? Ndani ya CCM atasema nini? Bora hata Mwandasya alitoka hadharani akakemea ufisadi! Magufuli tumwamini kwa lipi?sio tu escrow Magufuri alipokua bungeni hajawahi kukemea kashfa yoyote ya ufisadi ilipotokea anazidiwa na akina Bulaya na Mama Kilango kwa mbali sana. Leo anagombea ndo anawahadaa watanzania eti ni mpambanaji.