Kusema utapambana na Ufisadi bila Katiba mpya ni uongo

Super human

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2015
Posts
1,147
Reaction score
752
Katiba ndio mwongozo wa nchi sasa ikiwa mtu anatudanganya eti atapambana na ufisadi pasipo kuwa na sheria mama ni mwongo. Tukatae kuongozwa na utashi wa watu TUNGEKUA NA TAASISI HURU NA IMARA EXAMPLE PCB RUSHWA KUBWA NA NDOGO ZINGEISHA.

WATANZANIA TUCHAGUE UKAWA WAANDIKE KATIBA MPYA
 
Katiba ndio mwongozo wa nchi sasa ikiwa mtu anatudanganya eti atapambana na ufisadi pasipo kuwa na sheria mama ni mwongo. Tukatae kuongozwa na utashi wa watu TUNGEKUA NA TAASISI HURU NA IMARA EXAMPLE PCB RUSHWA KUBWA NA NDOGO ZINGEISHA. WATANZANIA TUCHAGUE UKAWA WAANDIKE KATIBA MPYA

Super human katika ubora wako!
 
Katiba ndio mwongozo wa nchi sasa ikiwa mtu anatudanganya eti atapambana na ufisadi pasipo kuwa na sheria mama ni mwongo. Tukatae kuongozwa na utashi wa watu TUNGEKUA NA TAASISI HURU NA IMARA EXAMPLE PCB RUSHWA KUBWA NA NDOGO ZINGEISHA. WATANZANIA TUCHAGUE UKAWA WAANDIKE KATIBA MPYA

Nyerere aliwezaje kupambana na rushwa? Alikuwa anatumia sheria zipi na katiba ipi?
 
Watajua saa ngapi wako busy na pushups bongo zimevurugika hata hawaelewi,matokeo yake wamebaki kama nyumbu, wenzao wakisema mabadiliko, na wao wanapayuka mabadiliko...wenzao wakijinadi M4C na wao wanajiita M4C...wakizungusha mikono na wao wanazungusha...ukiwapa hoja nyeti wajadili (ccm mfumo mbaya), wanakimbilia sababu nyepesi (Richmond)....yani utasema wanaishi USA eti wanahitaji jopo kuona shida za Watanzania.
Wat a country!
 
Huwezimfananisha Nyerere na nyenyere (ccm ya sasa)

Waliopo sasa wamejisahau na kujimilikisha nchi, na ni kwasababu mfumo unamianya mingi ya wao kuamua lolote ndio maana yanayotokea sasa ni -----...na ndio maana tunadai mabadiliko (mfumo/katiba)na sio mabadiliko (MTU ndani ya ccm)... Leo wewe unamjua Nyerere na uongozi wake, kesho atazalia mjukuu wako hamjui, ataongoza kwa utaratibu huu huu wa hivyo...ndio maana katika ikirekebishwa hata chizi akipewa nchi ataongoza tu maana itamwambia afanyenini.

Toroka uje!
 
Tatizo la watu wa aina yako mnadhani mnafahamu kumbe hamfahamu lolote!

Hata kama utakuwa hupendi Mzee Warioba lakini soma angalizo lake kuhusu ufisadi nchini na kichocheo cha kupambana nacho na nani anafaa kuwa ndiyo kamanda wa mapambano ya ufisadi.

Pitia hii thread kama unataka nguvu ya hoja na siyo hoja za nguvu,

hatuhitaji utashi wa mtu kuhusu ufisadi, tunahitaji utaratibu kwamba ukiingia madarakani unatakiwa iwe hiv, utengeneze baraza la mawazir wangap? wateuliwe na kuptishwa na bunge na sio kwa uswahiba so huna cha kunidanganya uswahiba ukiondoka serikalini ndo uadilifu utaanzia hapo
 
CCM ningewaelewa kama mngepitisha katba ya Warioba na sio kinyume na hapo
 
Tanzania ya Magufuli Itakuwa ya Viwanda...Ni Ndoto.. Tena Watanzania Hawataki kusikia Maneno hayo yasiyokuwa na Uhakisia hata Kidogo.

Mabadiriko...Lowassa; Lowassa...Mabadiriko...Tukutane tarehe 25/10/2015 CCM Anaenda Kunyolewa Kipara Kwa Kutumia Chupa.
 
akiingiaa lazma aanze fazila za kampeni kwa January Makamba. Tunataka katiba ya wananchi sio ile ya walanchi
 
Katiba ndio mwongozo wa nchi sasa ikiwa mtu anatudanganya eti atapambana na ufisadi pasipo kuwa na sheria mama ni mwongo. Tukatae kuongozwa na utashi wa watu TUNGEKUA NA TAASISI HURU NA IMARA EXAMPLE PCB RUSHWA KUBWA NA NDOGO ZINGEISHA.

WATANZANIA TUCHAGUE UKAWA WAANDIKE KATIBA MPYA

12140809_904823662943121_8407395719097172940_n.jpg
 
Back
Top Bottom