Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 57,974
- 134,087
Last edited by a moderator:
Leo Jp Magufuli atakua viwanja vya Halmashauri Bariadi jimboni kwa Andrew Chenge,jambo kubwa linasubiriwa ni namna atakavyomnadi Mtemi Chenge kw sababu kila anapopita JP anasema atapambana na wanaotajwa kua mafisadi
nitawaletea kila kitu hapa
Mbona hushangai Ukawa wanavyoogopa kutamka neno fisadi mbele ya mheshimiwaNatamani kuona kama makufuli atasema neno fisadi mbele ya chenge bila kuangalia chini
Mwanangu Chenge sio fisadi ,mbona hajapelekwa mahakamani?
Kama MNA ushahidi pelekeni mahakamani lasivyo shut up!!
Yap magufuli atasema na atazidi kusema kuwa anachukia mafisadi - hio ni juu yake Chenge kujipima kama yeye ni fisadi, Magufuli si Lowasa anayeshindwa kutamka neno fisadi tangu anaanza kampeni. Na usipoangalia Magufuli anaweza kumchana live Chenge.
Maajabu haya, hizi ni dalili za ukawa kuishiwa! Wenyewe wametufundisha kuwa mwenye ushahidi aupeleke mahakamani.Mbona hushangai Ukawa wanavyoogopa kutamka neno fisadi mbele ya mheshimiwa
Leo Jp Magufuli atakua viwanja vya Halmashauri Bariadi jimboni kwa Andrew Chenge,jambo kubwa linasubiriwa ni namna atakavyomnadi Mtemi Chenge kw sababu kila anapopita JP anasema atapambana na wanaotajwa kua mafisadi
nitawaletea kila kitu hapa
Akusema Chenge ni Fisadi na hastahili kuwa mbunge basi CCM itashinda
Bado, ni lowasa tu anayelitamka.ulishawahi kumsikia jk akitamka neno ufisadi? hawezi na hatolitamka kamwe
Leo Jp Magufuli atakua viwanja vya Halmashauri Bariadi jimboni kwa Andrew Chenge,jambo kubwa linasubiriwa ni namna atakavyomnadi Mtemi Chenge kw sababu kila anapopita JP anasema atapambana na wanaotajwa kua mafisadi
nitawaletea kila kitu hapa
Akusema Chenge ni Fisadi na hastahili kuwa mbunge basi CCM itashinda
Hapo sasa,asisogelewe na hilo jizi vinginevyo ni usanii
Jiandae kuhama...
spati picha joka makengeza likinadiwa ..
naingoja hio picha akimnyanyua mkono kwa ham sana.....tafadhali muwakilishi usiikose hio picha....bora usisikie anachosema alakin hio picha ipatikane.
Magufuli anafadhiliwa na mafisadi,ndio waliomchomekea ,na kuna msemo wa kialabu usemao -- anaekusaidia ndie bwana wako-- kwa maana unatakiwa umuheshimu hadi kufa kwako ,Magufuli ni lazima awahifadhi awalinde kama ulivyo msimamo wa chama chake kulindana,
Mtihani mgumu sana huu, ngoja tusubiri tuone