Recent content by NGAMBAGE NDYANABO

  1. N

    JamiiForums Tanzania NMB Tanzania Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Samahani NMB jana mlituma ujumbe kuwa "akuanti inyoishia 02042 imetoa 1200 kama hautambui muhala huu piga......" ambayo mimi kama miliki sijaitoa na benk yenyewe iko mbali. Sasa kama kuna uwezekano rudisha hele yangu hiyo pia tafuta mtu anayecheza mchezo huu mchafu na achukuliwe hatua.60601602042
  2. N

    JamiiForums Tanzania Wanafunzi 190 walawitiwa Hanassif

    unashangaa, kuna kuna mwl mmoja aliharibu zaid ya watoto sitini mwezi uliopita na wazazi wamemusamehe kwa sasa ameamishwa
  3. N

    JamiiForums Tanzania Askofu Pengo: Nasumbuliwa na uti wa mgongo, Watanzania Chagueni Rais fukara

    Nakubari maneno ya pengo, raisi asiwe anayetumia fedha yake kutafuta Uraisi; lakini maskini wa kiwango gani! kwa maoni yangu raisi akiwa maskini kwa maana ya maskini hatafaa kuwa raisi wa Tanzania
  4. N

    JamiiForums Tanzania Wadada wa kazi ni balaa

    wamama nao wanawtesa dada zetu
  5. N

    JamiiForums Tanzania Freemasonry Wametushika kila kona

    Tafuta maana ya Freemasonry.
  6. N

    JamiiForums Tanzania Ni yapi mapenzi ya kweli kati ya haya

    kinyonga anataga mayai.ingia kibiologia utajua ukweli
  7. N

    JamiiForums Tanzania Ukatili tena:Hausigeli achomwa na pasi na kung'atwa na meno kwa mwaka mzima.

    kuishi kuona mengi wanawake wanazid kuwa roho mbaya
  8. N

    JamiiForums Tanzania Kwa anayewafahamu wanawake wa kimakonde

    jiandae kuwa mume kati ya wanaume
  9. N

    JamiiForums Tanzania Nchi yetu inaitwa Tanganyika

    Jina zuri TANGANYIKA na zanzibar inaitwa kwa jina lake nasi tuitwe TANGANYIKA LITAKALO LIWE NA LIWE
  10. N

    JamiiForums Tanzania Waliofeli kidato cha nne waula, ufaulu sasa waongezeka

    ktk hili nchi inaenda kule kuitwako kuzimu ya elimu. madokta wa kupasua vichwa badala ya miguu. Buriani elimu Tanzania
  11. N

    JamiiForums Tanzania Mbowe: Tatizo la Mtwara linahitaji mazungumzo na sio nguvu za kijeshi

    serikali ilipaswa kutafuta ufumbuz wa tatizo la Mtwara kabla ya kutokea
  12. N

    JamiiForums Tanzania Uchafu wa Waziri Ghasia na dharau zake kwa Ofisi ya Waziri Mkuu kwa kifua cha JK

    yaaaaaangu macho.kama tukifa kwa kusem ukweli si bali kufa kuogopa aibu ni dhambi
  13. N

    JamiiForums Tanzania Nakerwa na wananchi wa Kanda ya Ziwa

    wasomi wa kand ya ziwa wanapenda kukaa kwenye mataa yajij la dsm.hawajui kuwa kwao kunaoza.wakifa ndo utuletea maiti.
  14. N

    JamiiForums Tanzania Kauli hii ya Mch. Antony Lusekelo (Mzee wa Upako) sio ishara ya kujisahau?

    Mtumishi wa MUNGU aliomba hekima, hakuomba ulinzi na heshima ya dunia. yawezekana mleta mada amenukuu kipande tu cha mahubiri,ilikuwepo maana nyingine zaidi ya kukamatwa kwa mchungaji na askari wa cheo cha chini.KIMSINGI Askari aliyekula kiapo kulinda nchi dhidi ya maadui, kila mtu anayeweza...
  15. N

    JamiiForums Tanzania CHADEMA, hapa Lwakatare alikuwa anamaanisha nini?

    video hiyo nina wasiwasi nayo,kwanza alyechukua video hiyo likuwa wapi na lin? pili mtu aliyelengwa ni nani? anayeonokana ni aliyeitwa rwakatare, W. kwa video hii haimuneshi anayepewa directives ina maana ilishindkana?tatu,aliyechukua video yawezekana akahusika moja2kwa sababu inaonekana yeye...
Back
Top Bottom