Kwa anayewafahamu wanawake wa kimakonde

Kwa anayewafahamu wanawake wa kimakonde

Mauno kama panga boi

Hehee viuno kama mota..jiandae!

Picture1.gif
 
Kuna kimdada enzi zile tuko chuo kalikuwa kanatutania eti ukienda kwa kenyewe na baiskeli yako hakuna haja ya kuiingiza ndani ya nyumba eti unaiweka kwenye dirisha mnakopigia mambo kanavyokupepeta eti kanakupa nafasi ya kuchungulia baiskeli yako pale dirishani. Kenyewe katukuwa kanakuuliza baiskeli yako ipo? Ukijibu tu ipo kanakushusha chini tena kwa kasi ya mota, muda kidogo unastukia uko juu na kupewa maagizo ya chungulia baiskeli yako!!! Kalitumia mfano wa baiskeli maana tulikuwa chuo cha kilimo na mifugo, hivyo ilikuwa inafahamika kabisa mara tukipata ajira serikalini usafiri wa kwanza ilikuwa baiskeli!!

Sasa huyu ndugu kwa vile ameyataka mwenyewe ngoja wadau wamdadavulie yote. Kuna jamaa hapo juu kaniua eti mauno kama yanaendeshwa kwa mota!!!

Jf raha tupu!!!!!!!
 
Kwenye mauno lol! Yaani kama mota, ukigugusuuuusa tu eheeeeeee pri pri pri priii.
 
Go for Makonde hutajuta. Im belongs to it. I KNW THEM WELLL FINE.
 
Tabia yao kupenda sana mchezo wa kulala chali ule, afu unaingiza kitu katikati :hug::hug:.
Tabia ingine kupenda watoto, hata kama mtoto si wake anaweza kuiba wa mwenzie akasema katoka tumboni mwake.
Kwaiyo watoto wake ni wake na wa mwenzie ni wake.

Wanapenda kujibadirisha majina, jina la utotoni, jina la usichanani, jina la ukubwani, na kila atakapo amia anajipa jina lingine. Wamakonde hawapendi kuvunja ndoa, ila inatokea, so ndoa yake ikivunjika anajipa jina lingine maana anakua mtu mwingine sio yule wa zamani. Akiolewa tena anajipa jina lingine, maana hali imebadirika tena.

Hawapendezi, wanapenda kukata nywele zote. Yaani hawapendi kujipamba hata mumewe awe millionea, wataishi hivo hivo. Atakulika kujipamba inafaida gani? au atakuliza kwani atakufa kama hajipambi?
mtoto wa kike kujibadirisha sura na kujikoboa koboa haipendezi.

Mume wao wanamuona kama mungu wao, sababu mume ni msaidizi wa mke kulea watoto, kuchunga watoto, kubeba watoto, kucheza na watoto, kulisha watoto.

Tabia ya wamakonde, mtoto wa kike lazma aishi karibu na baba na mama, bibi, babu, mjomba na shangazi ili wamsaidie kulea watoto na kumprotect yeye na watoto wake na kumfundisha kukomaa, hasiaribike mtoto wa kike.
Msichana wa kimakonde akipata nafasi kwenda marekani kusoma, jamaa zake watadai na wao inabidi waende ili wakamlinde, mtoto wa kike kuishi bila mkubwa wake haipendezi.
 
Wamakonde wameadopt matrism na sio patrism.mtoto akizaliwa anapewa jina la ukoo la mama na sio la baba.mapenzi wanayajua xana kwa sababu ni watu wa pwani na wana sifa zote kama za kizaramo.so kijana usiogope go for it.
 
Asante mkuu
 
Natakaniowe msichana nimakonde mwenye kujua Tabia Zao pls anijuze kabla cjachukua mahamuzi ya kufanya hivo nategemea toka kwenu ndugu zangu

wana asili ya U.M.A.L.A.Y.A... we oa tu najua kesho utakuja hapa unalia lia.
 
Mabingwa wa kupanga wanaume kama tofali. Kama huna wivu oa.
 
Natakaniowe msichana nimakonde mwenye kujua Tabia Zao pls anijuze kabla cjachukua mahamuzi ya kufanya hivo nategemea toka kwenu ndugu zangu

Mmakonde siyo mchoyo wa papuchi. Yaaani mtu yoyote akionyesha nia ni nadra sana kumnyima. Pia tofauti wengine hawa huwa hawaogopi kuachwa. Pia wanawahi sana kuzaaa. Yaani huyo wako usikute tayari ana mtoto. Labda awe amezaliwa Dar.kwa kifupi hivyo ndivyo ninavyowafahamu
 
Tabia yao kupenda sana mchezo wa kulala chali ule, afu unaingiza kitu katikati :hug::hug:.
Tabia ingine kupenda watoto, hata kama mtoto si wake anaweza kuiba wa mwenzie akasema katoka tumboni mwake.
Kwaiyo watoto wake ni wake na wa mwenzie ni wake.

Wanapenda kujibadirisha majina, jina la utotoni, jina la usichanani, jina la ukubwani, na kila atakapo amia anajipa jina lingine. Wamakonde hawapendi kuvunja ndoa, ila inatokea, so ndoa yake ikivunjika anajipa jina lingine maana anakua mtu mwingine sio yule wa zamani. Akiolewa tena anajipa jina lingine, maana hali imebadirika tena.

Hawapendezi, wanapenda kukata nywele zote. Yaani hawapendi kujipamba hata mumewe awe millionea, wataishi hivo hivo. Atakulika kujipamba inafaida gani? au atakuliza kwani atakufa kama hajipambi?
mtoto wa kike kujibadirisha sura na kujikoboa koboa haipendezi.

Mume wao wanamuona kama mungu wao, sababu mume ni msaidizi wa mke kulea watoto, kuchunga watoto, kubeba watoto, kucheza na watoto, kulisha watoto.

Tabia ya wamakonde, mtoto wa kike lazma aishi karibu na baba na mama, bibi, babu, mjomba na shangazi ili wamsaidie kulea watoto na kumprotect yeye na watoto wake na kumfundisha kukomaa, hasiaribike mtoto wa kike.
Msichana wa kimakonde akipata nafasi kwenda marekani kusoma, jamaa zake watadai na wao inabidi waende ili wakamlinde, mtoto wa kike kuishi bila mkubwa wake haipendezi.
Makubwa!
 
Back
Top Bottom