Wadada wa kazi ni balaa

Wadada wa kazi ni balaa

Hata wakaka hakuna, ni mimi na family. Kazi zote nafanya mwenyewe. Mtoto anashinda shule ya watoto hadi jioni. Nikitoka kazi namchukua, maisha yanaendelea.

Hata mi nilikuwa nafanya hivyo hivyo.
 
Kwani unadhani Mungu mjinga kuwaumba watu katika madaraja?????? ndio maana kuna walio maofisini ambao watahitaji wasaidizi nyumbani, yeye anatumia nguvu zake kunifanyia kazi zangu na kunilelea, mimi natumia hela yangu niliyomtumikia boss wangi kumlipa yeye. hapo unasemaje??

Bahati mbaya sana ni mtu nisiyeamini katika classes. Najua kuna walianza kuamini kwa uwepo wa madaraja hayo ukianzia na akina Plato . Lakini kwa sababu nao wamejitambua ndio maana wanapinga hilo kwa kutesa watoto
 
Bahati mbaya sana ni mtu nisiyeamini katika classes. Najua kuna walianza kuamini kwa uwepo wa madaraja hayo ukianzia na akina Plato . Lakini kwa sababu nao wamejitambua ndio maana wanapinga hilo kwa kutesa watoto

Najua utakuja kuwa baba japo zaidi naona utajitahidi kuoa mama wa nyumbani.
 
Nilishaoa siku nyingi

Sasa kama umeoa hapo kipya nini katika kuwa na house girl?????? au umeoa mama wa nyumbani hivo hujui kuwa kuna watu wanauhitaji wa ma house girl sio kwa mapenzi yao ila hali inawalazimu kuwa nao.
 
Sasa kama umeoa hapo kipya nini katika kuwa na house girl?????? au umeoa mama wa nyumbani hivo hujui kuwa kuna watu wanauhitaji wa ma house girl sio kwa mapenzi yao ila hali inawalazimu kuwa nao.

Mke wangu ana masters degree usimchukulie poa
 
Wiki moja iliyopita mdada wangu aliaga anataka kwenda kwao ameitwa,nikamkubalia nikampa nauli kumbe wakati anaondoka aliiba nguo zangu nyingi hadi na uniform za kazini. Bahati nzuri wazazi wake waelewa,baada ya kuwaeleza walinipa ushirikiano na hatimae nguo zangu zilipatikana.
 
Nini masters ili hali tunazungumzia PHD siku hizi.

Nayo ni elimu kubwa ukilinganisha na wasiokuwa nayo, PhD pia sio issue kwa kwa Prof, hivo usiidharau. Ushauri wangu ni heri Kurudi kijijini uliko zaliwa ukamtafuta house girl huko unaye mjua kuliko kuagiza mikoani.
 
Wiki iliyópita imenibidi nimrudishe kwao kwa kumshtukiza yaani bila kuwambia maana nliona kwa miez 8 tuliekaa nae alikuwa amebadilika sana. Alianza kuonyesha kachuki na kiburi kwa mke wangu huku akionekana kunichangamkia kuliko kawaida na vituko vya kunitega vya hapa na pale. Ilinkera sana, nikakubaliana na mke wangu tumwondoe kwa sabcu ya kiburi na dharau japo sikumwambia vitimbwi kadhaa nlivofanyiwa kwa hofu ya kisasi kutoka kwa mke wangu kwa binti yule. Angalizo: akina baba tuwe makini na wadada wa ndani kwani usipo chukua hatua mapema waweza kuliswa limbwata na kuharibu familia yako .

Mkuu ulikua umesha gusa nini?make beki tatu akinasa mpira tu nibaraa uwaga wanabana sana
 
acheni kurusha lawama kwa wadada wa kazi, hivi mnawachukuliaje jamani, mtu anayeshinda na watoto wako siku nzima ni zaidi ya mkeo. Ukichunguza kwa umakini hao wenye visirani vya kuuwa ni hasira za manyanyaso ya mama ndiyo zinapelekea hayo. Kama mama mzazi mwenyewe anadiriki kuuwa kiumbe aliyemzaa kwa hasira ya baba aliyemtelekeza nyie mnafikiri housegirl siyo binadamu? ni binadamu na wanamakosa, lakini msilichafue jina la DADA MSAIDIZI wakaonekana wote wauwaji.
 
Kwa hiyo mtoto nitakuwa naenda nae ofisini???? kazi zenyewe kwa muhindi kuingia saa 12 asubuhi, kutoka saa 22 usiku.
si rahisi kama unavyosema, mimi ni mzazi naijua hiyo dhahama kaka, bora kusubiri mmoja ajitambue ili awe mlinzi wa mwenzie.

Huyo mwenzake akijitambua siatakuwa shule? atamlinda saangapi.
 
Wewe unazo ngapi mpaka bado unafananya kazi kwa wahindi ?[/QUOTE

Ha hahaha, maskiniii weee!!! unaishi kwa kukariri. anyway haraka sana nimejua umri wako mweeee!
Yaani kweli utashi wako hapo ndio ndio mwisho?????? kwa style hii na wanafunzi wenyewe ndio wewe kwa kweli walimu wasikuhizi wana kazi sana.
 
Kwani prof anakuwa na nini kama co PhD

Nilichokuwa namanisha ni Academic ranks, mwenye masters ni potential pia ukilinganisha na walio chini yake kitaaluma, kwa hiyo sio kusema PhD tu. Ila skills is the best.

(KILA RANK YA ELIMU NI MHIMU)
 
Kwahiyo kuanzia asubui hadi hiyo jioni atakuwa salama sio.

Kama mama ninajua nini namaanisha, najua upande wangu wapi kunamapungufu, hasa kwa kua hautakua uzazi wa kwanza. kama wa kwanza nilimudu kumlea, huyo wa pili hawezi nipa shida maana nafukia mashimo ya kwanza. unaweza usinielewe ila ndio hivo
 
Back
Top Bottom