Recent content by Ngala

  1. N

    Ugonjwa wa Mifupa (Arthritis)

    mkuu hakuna tiba mmbala maana naona ni ugonjwa wa utu uzima ambao mii nipo jirani nao sana.kama kuna tiba mmbadala tuwekee mkuu. nimeku pm mkuu nipe msaada mkuu
  2. N

    Watoto wenye umri mdogo waota MAZIWA baada ya,...!

    ni balaa kila kitu kitimoto wanalishwa arv kuku wanapewa vidonge vya uzazi wa mpango n`gombe wakitwangwa machanjo ya kuzuia maradhi hawatakiwi kukamliwa mpaka baada ya siku tatu je ni mfugaji yupi anayeyakubali masharti hayo aache kuingiza maziwa sokoni kisa sindano?? natuombe mungu tuu wandugu...
  3. N

    natafuta nyumba ya kupangisha Tanga.

    mkuu nyorosa maelezo:unatafuta nyumba ya kupanga yenye vigezo hivyo au una nyumba unahitaji wapangaji? sijakusoma vyema mkuu
  4. N

    Nimekamata tunguri za limbwata za mke wangu, nimfanyaje?

    nikupe pole kisha niwakumbushe kuwa ajapomwacha huyu ajaye anajua atakuwa wa aina gani? pengine atakuwa zaidi ya huyu na akaongeza ufanisi na umakini zaidi hivyo kusudio likakamilika? limbwata usijeliona ni balaa kubwa mno.waweza kuwa zezeta ghafla mno kila atakalo unamtimizia bila mjadala.aweza...
  5. N

    GE2010 Takukuru: Hawa je?

    ni utoto tu akikua ataacha. hataya hivyo mbona hii ni post yake ya sita???
  6. N

    Ni uhaini - as simple as that!

    kweli leo naamini zanzibar wakipiga chafya bara mafua tayari. hivi ni kwa nini tunaikolia zenji kuna faida gani haswa tuipatayo toka huko au ndo hayo mafuta ya kufikirika wandugu?? kwani wakijitoa tutapata hasara gani wapendwa? enzi ya vita baridi ilishapita nini tena wa bara twasumbuka nao...
  7. N

    GE2010 CHADEMA na kampeni kwa njia ya Mtandao

    waasisi wa chama cha taa na baadaye tanu walikuwa na umaarufu gani?? ulipozaliwa ulijikuta ukiwa mkubwa kama ulivyo au ulipita kwenye malezi kama wanaadamu wote??? kwako maarufu ni kingunge,tingatinga na wenye mvuto ni ra, el nk nk nk.pole na ugua salama na malaria sugu
  8. N

    Ukimdate mtu ni laziama mka...

    kwani hujawahi toka nje ya uwanja wako hata mara moja?au huyu kuna kasoro uliyogundua ndo unamwanika hapa mbona hao wengine hujatuanikia hapa.subiri akikubaka njoo hapa umshtaki tumchape viboko
  9. N

    Mikoko ya vodacom

    shindeni tu hiyo mikoko mie hizi proo sitaki hata kuzisikia. zain jivunie wamenifuta imekula kwangu tigo nayo jikoki imekula pande yangu.nasema inatosha sitaki kuzisikia hizi proo zenu. na kwanini ziibuke kipindi hichi tuuu kuelekea general election tuuua?? tutafakari kasi imetoka wapi
  10. N

    Wabunge waliogongana Richmond warudishwe- Mzee Mwanakijiji

    kula tano mzee mwenzangu maana ulinichanganya sana nikadhani kuna mtu anatumia jina lako vibaya lkn sikuona ukikanusha. kutuweka vizuri zaidi ebu tujazie makala ya lula wa ndaliwamunzila raia mwema toleo no 145 mii sina utaalamu huo. asante sana in advansi
  11. N

    Mwanamke anayejiweza kimaisha

    ni mfuko wake wa rambo atakutana nao getini kwa mlinzi. wanaume kama mabint
Back
Top Bottom