Elections 2010 Takukuru: Hawa je?

urasa

JF-Expert Member
Aug 12, 2010
434
2
Nitafurahia kusikia takukuru wanawakamata wagombea wa igunga,nzega,kahama,vunjo,kyela,urambo,monduli ambako kumeripotiwa rafu za waziwazi wakati wa uchaguzi,kamatakamta yao isiendeshwe kwa misingi ya chuki kwa kundi fulani
 
Kwanza bisha hodi tukukaribishe ndo uanze kuongea shida yako. Au sivyo bwana!?
 
Yes, It is always good kubisha hodi na kukaribishwa ... !! Vinginevyo inakuwa vigumu kuwatofautisha TAKUKURU ... na watu wengine!

Na Hasa RA anahitajika TAKUKURU kwa barua ile ya Pinda..!
 
Hakuna haja ya hodi na wakati kuna ombwe la uongozi,tujadili bila kuingiza siasa hapa
 
Nitafurahia kusikia takukuru wanawakamata wagombea wa igunga,nzega,kahama,vunjo,kyela,urambo,monduli ambako kumeripotiwa rafu za waziwazi wakati wa uchaguzi,kamatakamta yao isiendeshwe kwa misingi ya chuki kwa kundi fulani

Kundi gani hilo?
 
Unakumbuka takukuru walivuoisafisha richmond?kwa hiyo utajua kundi gani laweza kuwa walengwa mkuu,
ndio maana nataka wafanye kazi kwa haki na nchi nzima
 
Unakumbuka takukuru walivuoisafisha richmond?kwa hiyo utajua kundi gani laweza kuwa walengwa mkuu,
ndio maana nataka wafanye kazi kwa haki na nchi nzima

Wataje kwa majina na utaje rushwa waliyotoa walimpa nani? Usilete majungu hapa!
 
Microscopic minded,sina muda wa kubishana na wewe

Hapa sio suala la kubishana, ni suala la kutetea hoja uliyoianzisha mwenyewe! Au ulifikiri unaweza kuleta umbea watu wakubaliane nao? Leta hoja zenye takwimu, tutaziunga mkono!
 
Back
Top Bottom