Mleta uzi pole, jipange tena, hiyo ndo biashara!
wana jf
Mtoa mada apewe, benefit of doubt, naona wengi mna tafuta kajiunga lini, badala ya kutafiti ukweli ndani ya ujumbe wake.
1. hawezi kuwa ameropoka tu, ila fikiria mfanya biashara umepewa ahadi na Branch manager kuwa utapata hiyo tenda...