blackandwhite2061
Member
- Jan 2, 2013
- 31
- 5
- Thread starter
- #61
Kanda ya ziwa ni kubwa mno ina maana kuanzia Shinyanga, Mwanza, Musoma, Kagera na siku hizi kuna sijui Sia muyu na Geita zinazogawanya maeneo ya Kanda ya ZIwa na huko Ukanda wa Kusini. Sasa kote huku tatizo ni lile mpaka Wachagga wajenge nyumba ndipo CRDB wafungue matawi? Ni hitimisho lililokosa mantiki maana nanusa harufu ya ubaguzi na sababu za kutunga. Halafu kama lengo lingekuwa ni hilo si mkurugenzi angetoa mikopo ili majengo yajengwe na ndugu zake hao? Haiwezekani matawi yakashindwa funguliwa na hali wateja wapo wa kutosha wa kuhudumiwa na matawi hayo kwa sababu hakuna majengo ya Wachaga. Tupe research areas, size of population
interviewed na ikibidi aina ya watu hao in terms of their education level, profession gender na kabila japo sio muhimu maana contextuosly umekuwa influenced na hilo kwenye bandiko lako
wewe unaonekana kama mwalimu wa open universtity!!! manake hayo maswali yako hapo chini!!teh, natania tu.
ndugu najua kanda ya ziwa ni kubwa, sijataja wilaya zinazohusika na ubaguzi huo kwa sababu maalum, ninalinda hadhi ya waliotoswa nyumba zao kuchukuliwa. ninajua watu wazima wenye nafasi za juu serikalini watanielewa ninachomaanisha. kumbuka waandishi wa habari walizuiwa kuandika kesi ya rais mstaafu mwinyi kumdai mtu kodi ya pango. haya mmbo yana matokeo yke, vijana wa leo hawatanielewa.
huyo maneja wa mkoa husika alimchana live kozi naye alienda kibosibosi. binafsi lengo lilikuwa kufikisha huu ujumbe sehemu muafaka kupitia jf, natumai umefika. kukiwa na impact ya wazi ntawapa mrejesho.
watumishi wa vyeo vya kati CRDB watakuwa wanajua ninachoongelea hapa, ili wengine wanaopenda changia kila topic hawajui ninachomaanisha.
huo ubaguzi upo sana, na huko lake zone kunamgogoro huo, kama hayakuhusu soma then tulia.