Ubaguzi CRDB

Ubaguzi CRDB

Ukabila? Hii nchi ni kama bomu linalo subiri kulipuka, maana huku kina uamsho wanaleta yao, mara huku ukabira kweli tuta enda kwa mtindo huu?
 
Kafieni mbali na ubaguzi wenu!poor you!
 
Tuhuma nzito hizi, na inaonyesha umeandika ukiwa na jazba sana, ndiyo maana sentenso zimekaakaa kiajabuajabu.
Hata hivyo siamini kuwa mtu anaweza kujibiwa Live namna hiyo!...labda una matani naye!

Paka Jimy, Generally speaking trend ya tribalism/nepotism is very evident in Tanzanian institutions! Nenda kwenye makampuni yetu, just a simple survey, kama boss ni mhaya, utakuta a considerable number of hayas, likewise nenda kwenye boss mchaga, the same picture will be reflected, mnyakyusa, mpare, etc. Ilisemwa ya TRA, wakasema kama wamesoma kwa nini wasipewe, lakini kwa sasa hakuna kabila ambalo halina wasomi wa ku-balance nafasi za ajira ili watu wasianze ku-speculated breeding ya tribalism. By the way habari za huko! karibu tena.
 
tusimpuuze sana mtoa mada japokuwa ameeleza hili kwa jazba au ameegemea zaidi kwenye ukabila bila kuangalia sababu zingine.......ila tatizo lipo kweli na kuna sehemu zina migogoro mingi ya namna hiyo na matawi aidha yanashindwa kufunguliwa au yanachukua muda mrefu sana kufunguliwa.amesahau kusema 10% ambayo iko mbele kuliko uchaga
nakupa mfano wa sehemu zenye migogoro ya hivyo......KARIAKOO BRANCH, ZANZIBAR BRANCH, KYELA, IFAKARA, KASUMULO, TUNDUMA, MAFINGA, KARATU nyingine zinahifadhiwa kwa ss....hizo zote ni kwa sababu ya aidha 10% au undugu na kujuana sipendi kusema ukabila kwa kuwa 10% ina nguvu kuliko ukabila
 
CRDB kuna ubaguzi ktk upangishaji wa nyumba kanda ya ziwa ni tuhuma nzito na hazipaswi kupuuzwa,wengine wanadai hata ktk ajira,kupata ajira au kupata promotion ni lazima uwe wa huko,umeoa au kuolewa na mtu wa huko narudia tena hizi ni tuhuma ambazo wkt mwingine chanzo chake ni majungu na wivu ila wenye mamlaka wazichunguze maana lisemwalo.......Pili nchi inaongozwa na serikali ya CCM na sio hao uliosema wach....

Nenda branch kahama mjini kuanzia mfagiaji, dereva etc. Wachaga tupu.
 
wanajamvi kuna ubaguzi wa wazi CRDB kwenye suala la kukodisha nyumba za watu binafsi kwa ajili ya kufungua matawi mapya hususani huku kanda ya ziwa. ndo mana baadhi ya wilaya huku wanatumia mobile atm (yale magari yenye atm). mameneja wao huku kanda ya ziwa wanajitahidi kutafuta nyumba kwa ajili ya matawi, wanaingia makubaliano ya mwanzo na taarifa zinatumwa makao makuu ili waridhie ufungwe mkataba rasmi. chaajabu makao makuu wakiona jina la mmiliki wa nyumba hilielekei kuwa mcha......a(kabila moja maarufu la kaskazn `linalomiliki` hii nchi (huo ni mkakati wa mkurugenzi mkuu wao kutaka kuneemesha watu wa kwao tu) unarudishiwa majibu kwamba haiwezekani kwa sababu zisizo na kichwa wala miguu.
iligundulika dec 2012 sababu ya kukataa nyumba nyingi baada ya mpangishaji mmoja kuamua fuatilia ngazi ya mkoa na kupewa jibu la wazi na kweli na meneja.. wewe siyo mcha.............a hkamwe hututapangisha kwako, tunasubiri mwenzetu ajenge ndo tupange,tutaendelea na mobile atm.
huu ubaguzi unapunguza upanuzi wa HII BANK (CRDB) huku kanda ya ziwa kwa sababu hao ndugu zake mkurugenzi mkuu hawana nyumba za kuwapangisha baadhi ya wilaya huku lake zone.
nawasilisha wakuu, kama kawaida kunawatakao anza oh1 umejiunga leo, kwa taarifa yao mimi ni mzoefu humu jamvini,nimefanya hivi kwa sababu ya usalama wangu, nmanake hawa jamaa ndo kila kitu nchi hii.

Lete ushahidi. Otherwise, itabakia kuwa porojo.
 
Nenda muhimbili ukaone madokta wanavyowabeba wanafunzi wa kichaga wa medicine au chuo cha ifm
 
Jamani msiwe wakabila hivyo ... msisahau, wachaga wapo wa aina nyingi; Wamachame, Warombo, Wamarangu, Wakibosho, Wauru .... tuambie, we unazungumzia wachaga gani??!!
 
Labda kumsaidia mtoa mada jaribu kudadisi mabenki mengine makubwa hapa tz kama NMB na NBC wanafanyaje kwenye kukodi nyumba za kufungua matawi yao na ATM zao. Usiwalaumu sana CRDB inawezekana ndo mtindo uliopo au hata chunguza makampuni kama vodacom na tigo na mengineyo wanapotaka kufungua matawi mapya mikoani na wilayani wanafanyaje?
Isijekuwa tuu huyo mtu aliambiwa na mtu kopa jenga nyumba au gorofa then CRDB watakuja kukodi ili wafungue tawi nawe utakuwa umetoka as huo ni uhakika wa kodi sasa jengo limeisha dili limekata ndo watu huwa wanadondoka na kufa au hata kuuana hv hv.
 
wanajamvi kuna ubaguzi wa wazi CRDB kwenye suala la kukodisha nyumba za watu binafsi kwa ajili ya kufungua matawi mapya hususani huku kanda ya ziwa. ndo mana baadhi ya wilaya huku wanatumia mobile atm (yale magari yenye atm). mameneja wao huku kanda ya ziwa wanajitahidi kutafuta nyumba kwa ajili ya matawi, wanaingia makubaliano ya mwanzo na taarifa zinatumwa makao makuu ili waridhie ufungwe mkataba rasmi. chaajabu makao makuu wakiona jina la mmiliki wa nyumba hilielekei kuwa mcha......a(kabila moja maarufu la kaskazn `linalomiliki` hii nchi (huo ni mkakati wa mkurugenzi mkuu wao kutaka kuneemesha watu wa kwao tu) unarudishiwa majibu kwamba haiwezekani kwa sababu zisizo na kichwa wala miguu.
iligundulika dec 2012 sababu ya kukataa nyumba nyingi baada ya mpangishaji mmoja kuamua fuatilia ngazi ya mkoa na kupewa jibu la wazi na kweli na meneja.. wewe siyo mcha.............a hkamwe hututapangisha kwako, tunasubiri mwenzetu ajenge ndo tupange,tutaendelea na mobile atm.
huu ubaguzi unapunguza upanuzi wa HII BANK (CRDB) huku kanda ya ziwa kwa sababu hao ndugu zake mkurugenzi mkuu hawana nyumba za kuwapangisha baadhi ya wilaya huku lake zone.
nawasilisha wakuu, kama kawaida kunawatakao anza oh1 umejiunga leo, kwa taarifa yao mimi ni mzoefu humu jamvini,nimefanya hivi kwa sababu ya usalama wangu, nmanake hawa jamaa ndo kila kitu nchi hii.

Join Date : 2nd January 2013
Posts : 5
Rep Power : 302
Likes Received0
Likes Given0
huyu si ni mpare tu na lao ni moja na chagga
 
hivyoo. kwa hiyo na lili jengo la branch ya burundi ni la mchaga? na hizo branch ambazo zipo kwenye majengo ya taasisi ya serikali kumbe nayo wachaga wanaumiliki huko eeh?

alafu mbona mabenki yapo mengi mbona wasiwafuate na wao wakafungua mabranch huko?
 
CRDB miaka ya 90. Hakuna hata aliyekuwa akiijua kwanza, ilikuwa ni benki iliyodharaulika sana. Kaja Dk.Kimei kaibadilisha sana na kuifanya kuwa benki inayojiendesha kwa faida na kila mtu hapa ni shahidi. Inavyoelekea mtoa uzi ameandika lakini taarifa zake hajazifanyia utafiti. Kweli inawezekana Dk Kimei akawa mchaga lakini akaajiriwa mchaga kwa sifa zake kulingana na mahitaji watu wakaanza kuzusha. Wapo waliomzushia huyu mzee na kashfa kadha wa kadha za rushwa za ngono. Naona hizo zimekosa mashiko wanakuja na za ukabila. Mnyonge mnyongeni...Haki yake mpeni. Bila Dk Kimei CRDB ilikuwa imeshaonekana kimeo tu kwa watanzania enzi za Mwinyi.

Mkuu hapa kweye rushwa za ngono mbona unaibua vitu vilivyokuwa vimenyamaziwa? Halafu unapresent as if ni uongo? Kwani ni uongo kuwa pale head office na baadhi ya branches kuna wakurugenzi wa chupi?
 
acheni ubaguzi nyny kizzi kisicho jituma kazi yenu ni u baguzi fuul time utakuja kumbagua mkeo kuwa si wa ukoo wako nyambafu:target::target::target::target::target::target::target::target::target::target::target:
 
Hahahahahah!mbona unaongeza mgogoro kwa wàle wlioaminishwa vibaya?Eti Kimei au Mengi unapendekeza mmoja wao awe Rais?Naamini wanaweza sio wao tu hata Mbowe,Ndesamburo,Slaa,Lowassa,Swai,Mollel na wengine wanaweza ila kuna watu wanachuki na watu wakanda hiyo hata tamko waliwahi kutoa kuwa hatatoka Rais toka kanda hiyo ni ubaguzi tu tena wanasiasa uchwara ndio wamepanda mbegu hii mbaya ya ubaguzi.TUWAPUUZE.
 
Nenda muhimbili ukaone madokta wanavyowabeba wanafunzi wa kichaga wa medicine au chuo cha ifm

toa ushahidi, ninacho kijua mm wachaga wanajituma sana hivyo inapofikia mahala mfano kwenye masomo na maisha wengine wanapoona haiwezekani na mchaga kwa juhudi akiweza wanahisi kapendelewa!
 
Mh!hii ni tuhuma nzito sana,tusubili majibu kutoka kwa wahusika!
 
CRDB miaka ya 90. Hakuna hata aliyekuwa akiijua kwanza, ilikuwa ni benki iliyodharaulika sana. Kaja Dk.Kimei kaibadilisha sana na kuifanya kuwa benki inayojiendesha kwa faida na kila mtu hapa ni shahidi. Inavyoelekea mtoa uzi ameandika lakini taarifa zake hajazifanyia utafiti. Kweli inawezekana Dk Kimei akawa mchaga lakini akaajiriwa mchaga kwa sifa zake kulingana na mahitaji watu wakaanza kuzusha. Wapo waliomzushia huyu mzee na kashfa kadha wa kadha za rushwa za ngono. Naona hizo zimekosa mashiko wanakuja na za ukabila. Mnyonge mnyongeni...Haki yake mpeni. Bila Dk Kimei CRDB ilikuwa imeshaonekana kimeo tu kwa watanzania enzi za Mwinyi.

Si kweli kwamba bila Kimei CRDB isingefanikiwa.Wapo watanzania wengi wenye uwezo wa kumshinda huyo jamaa yako unayemsifia tena ukizingatia wengine ni vijana.Kwa utoaji wa huduma hasa kwa Corporate customers hao jamaa hawamudu kabisa wao wanaweza kuhudumia wateja wadogo wadogo.Fanya utafiti usikimbilie kukanusha mada tu.
 
Mleta uzi pole, jipange tena, hiyo ndo biashara!
wana jf
Mtoa mada apewe, benefit of doubt, naona wengi mna tafuta kajiunga lini, badala ya kutafiti ukweli ndani ya ujumbe wake.
1. hawezi kuwa ameropoka tu, ila fikiria mfanya biashara umepewa ahadi na Branch manager kuwa utapata hiyo tenda ghafla inayeyuka, unadadisi hilo linakuwa jibu ...wewe siyo mch...ga, lazima utapata ghadhabu n.k
2. Binafsi nina ushahidi wa upendeleo wa ukabila kwenye benki ile, hasa kwenye kuajiriwa na pia kupata promotions!!
3. Kuwepo kwa vyeo vya Ch..pi ndani ya benki hiyo ni jambo lenye kueleweka, hasa kwa waliomo ndani wanajua.
Mwisho, siyo Wachaga wachache, mfano Dr Kimei na kundi lake wakiwa na upendeleo ndo wachaga wote, siyo kweli, LAKINI ukweli ndani ya CRDB uchaga upo tena mkubwa. siyo wakutafuta wala kuuliza, upo wazi, ukifatiwa na upendeleo. Hivyo wachaga msijisikie vibaya na kuanza kumtetea kisa mch..ga mwnzenu ndo anafanya hivyo.
Dr Kimei amekaa pale muda mwingi inatosha, wengine hapa wanamsifia ila kiukweli uwezo wake umeanzaku-diminish on creating new things, he has to step down vingine hizi kashafa zitamtia doa na kuharibu yote hata mazuri aliyo fanya. Kwa wanaojua jua CRDB image ya 1997-2007 watakubaliana na mimi wakilinganisha na hii ya 2010
0.5%
 
Back
Top Bottom