China ni moja ya visa rahisi.
Ukijaza vizuri online, na ukawa na ID ya mchina kazi kwisha, hata bank statement hawachukui.
Kuna mtu nimemsaidia bank statement na barua ya kampuni, kufika kwenye interview wakamrudishia bank statement bila hata kuiangalia.
Mleta mada ni mvivu, anapenda shortcut.
Unasema umezaliwa mwaka 1993, ulivopewa leaving certificate ya 1994 kwanini hukukataa au kuomba marekebisho?
NIDA waliokuwa wanachukua taarifa ni watu waliajiriwa haraka haraka wengine bila kujua vitu vya muhimu.
Huyo officer wa uhamiaji ndiye anajua...
Kulipa kwa awamu ni expensive zaidi, kama anaweza tafuta sehemu alipe kwa mwaka mzima.
Kama kumbukumbu zangu zipo sawa miezi 6 unalipa 75% ya gharama, na miezi mi3 unalipa almost 50% ya gharama za mwaka.
Mkuu EFD machine ni bure,
Kuwa ukinunua, unatakiwa kuidai katika malipo yako ya kodi ya mbele.
Mfano ukafanya makadirio ya mwaka ukatakiwa kulipa kodi laki 9, unatoa hiyo 580k then unalipa iliyobaki.
Kwa wenye VAT unakata kwenye VAT amount yote.
Lakini ufanye hayo au utoe taarifa ndani ya...
Mkuu ninavyo andika nipo mikese kwa mbele kuelekea Dar, tumekaa masaa mawili bila kusogea.
Waliokuwa mdaula sa 8 mchana ndo wamepita hapa kama nusu saa iliyopita.
Hali ni mbaya sana.
Maziwa ya pakti mtindi yote yana expire ndani ya mwezi. ( Asas, Tanga Fresh, Dar Fresh, Kilimanjaro etc)
Maziwa fresh ambayo hayajaongezwa preservatives yana expire ndani ya siku 7.
Yaliyowekwa preservatives ndani ya miezi mi3.
Ndio maana si maduka yote utakuta maziwa fresh au mtindi ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.