Recent content by new day has come

  1. N

    JamiiForums Tanzania Mmoja auawa kwa risasi na watu wanaodhaniwa kuwa majambazi - Mataa ya Airport

    Umeandika vzr ila ni ktk theoretical point of view inapokuja kwenye uhalisia, jambo la wananchi kushiriana na polisi ni gumu sana kwa sababu ktk polisi wenyewe kuna majambazi wengi tu( na hata polisi wenyewe wanafahamiana ila hawachujui hatua yoyote ya kudhibiti) pia kumbuka huyo jamaa aliyeuawa...
  2. N

    JamiiForums Tanzania Wafuasi 683 wa Muslim Brotherhood wahukumiwa kifo..!

    Me mwenyewe sikumsoma jamaa nikafikiri cpo deep kiasi cha kumwelewa
  3. N

    JamiiForums Tanzania Lowassa ndani ya Scoan tv

    Unaweza ukawa hauko sahihi kwa kiac fulani kwa sababu km Mungu mwenyewe kawaweka manabii dunian ww mwanadamu unawezaje kuwakataa? Ni kweli manabii wa uongo wapo, la muhim ni kutokwenda kiholelaholela kwa sababu kwa kufanya hivyo unaweza kukutana na manabii wa uongo.
  4. N

    JamiiForums Tanzania Imeonekana huko JAMBIANi

    Foolish! Watu wapo kwenye majonzi ww unaleta upuuzi apa, ivi watu wengine kufikiri kwenu kukoje? Shame on you
  5. N

    JamiiForums Tanzania Rwandan intelligence assassins mission was to kill the entire family

    Kuna uwezekano mkubwa hii story yako ikawa ya uongo
  6. N

    JamiiForums Tanzania Umemsikia MUGABE alichomwambia OBAMA.?

    Kwaiyo ulitaka amwachie Tshangirai? Kwa Tshangirai bora tu Mugabe atawale mpaka mwisho wa maisha yake hapa duniani
  7. N

    JamiiForums Tanzania Umemsikia MUGABE alichomwambia OBAMA.?

    Lakini na hilo alilofanya ni jema tu, sasa ushoga wa nn kwetu na una faida gani?
  8. N

    JamiiForums Tanzania Umemsikia MUGABE alichomwambia OBAMA.?

    Kwan ubaya wa sheria hiyo ni nn sasa?
  9. N

    JamiiForums Tanzania Hii ya Malaysia Airlines ni maajabu tu

    10.5km is not eq to 11km, but 10.5km is approximately eq to 11km. Marekebisho kidogo
  10. N

    JamiiForums Tanzania Hii ya Malaysia Airlines ni maajabu tu

    Acha utani wa kipuuzi
  11. N

    JamiiForums Tanzania Kagame will never live in peace, ni mwoga mno!

    Sorry mkuu ivi sababu tajwa na mtoa mada hapo juu ndo znawafanya watanzania wamchukie PK au kuna zingine za zaida?
  12. N

    JamiiForums Tanzania Chanel ten na CCM ni ndugu?

    Baba mmoja mama mbali
  13. N

    JamiiForums Tanzania Taarifa za habari Tv za kibongo

    Nadhani waandishi na wamiliki wamesikia na watalifanyia kazi
  14. N

    JamiiForums Tanzania Nateswa na dawa za kuona wachawi hasa usiku

    msaidie mwenzio km una solution, km huna ni bora ukae kimya sababu huwezi jua yupo kwenye hali gani na hilo ni teso kwake kwa kiwango kipi, na ndio maana kuna msamaha; maana yake ni kwamba kuna makosa tunayafanya( km aliyapata kwa waganga) na baada ya kugundua tunataka kurestore hali zetu za awali.
  15. N

    JamiiForums Tanzania Kwa nini "ss" au "tt" ?

    Modernisation
Back
Top Bottom