Chanel ten na CCM ni ndugu?

pingu mkoka

JF-Expert Member
Dec 10, 2013
434
110
Wakuu nimeamin kabisa vyombo vya habar vina upendeleo,
Chanell ten wamerusha kampen za ccm pekee karenga huku wakiacha vyama vingine,kama Cuf na Chadema,imeniuma sana.
Hili lichama nimelichoka,kwa sababu halina msaada wowote kwa watanzania hasa ss wakazi wa karenga.
 
mkuu nadhani tatizo sio tv bali ni mwandishi anayeripoti toka eneo la tukio inawezekana mwandishi anatembea na gari la ccm kwenye misafara yao na kupewa chochote cha tumbo
 
TBCCM, Chanel Ten na Clouds TV ni watumwa (misukule) wa magamba.
 
mkuu nadhani tatizo sio tv bali ni mwandishi anayeripoti toka eneo la tukio inawezekana mwandishi anatembea na gari la ccm kwenye misafara yao na kupewa chochote cha tumbo

Inamaana Chadema nao wanampa chochote mwandishi aripoti Kalenga?
 
Wakuu nimeamin kabisa vyombo vya habar vina upendeleo,
Chanell ten wamerusha kampen za ccm pekee karenga huku wakiacha vyama vingine,kama Cuf na Chadema,imeniuma sana.
Hili lichama nimelichoka,kwa sababu halina msaada wowote kwa watanzania hasa ss wakazi wa karenga.

Channel Ten ni station ya Wahindi ambao, wakwepa kodi na wafadhili wa ccm. Msajili wa vyama yupo Kalenga na amejinasibu kuwa tume yake itatoa magari kwa waandishi wa habari ili wasitegemee magari ya wagombea!
 
Hivi na hawa wakina Yericko Nyerere, Tumaini Makene, Kurugenzi ya Habari nao wame-hongwa na CCM? Kwa maana sio kuripoti habari za uchaguzi humu jukwaani!
 
kama imekuuma chukua kamba kajitundike

Mm ni mgeni sana humu JF, lakini kuna watu ama IDs ambazo hazipaswi kuwa na mirengo ya kisiasa ama mvutano wowote ule usio na maslahi ya kudumu kwake! Wao wanabaki very neutral ni km kuwa mjumbe kwenye kamati ya mashauriano kusuluhisha pande mbili zinavutana. Kwa bahati mbaya sana wewe ni mmoja niliemwona kuwa unapswa kuw central! i might be wrong or correct whichever is right to me!.
 
STAR TV kwa makusudi leo saa mbili usiku (8/03/2014) ametoa taarifa inayohusu uchaguzi Kalenga....kwa kuweka maelezo ya mgombea wa CCM mwanzo mwisho mwa taarifa hiyo wakati...kwenye taarifa hiyo kulikuwa na vipande vya video ambavyo vinamuonyesha mgombea wa CDM akihutubia wananchi ....

hii nayo ni sabottage ya Star TV kwa CDM...nawasilisha
 
Back
Top Bottom