Recent content by NESTOROY

  1. N

    JamiiForums Tanzania Hivi, Papa John Paul II ni kweli alifika Tanzania au ni maneno ya watu tu?

    kwani wewe umezaliwa mwaka gani naona swali lako ni kukera kdg
  2. N

    JamiiForums Tanzania Hili tangazo la Magodoro na Jini, walifikiria nini!?

    jini ni jini tu hakuna jini zuri majini yote ni mabaya.tena ni mahaya kwelin
  3. N

    JamiiForums Tanzania GE2015 Unaunga mkono Lowassa kuhamia CHADEMA na kuwa mgombea Urais?

    Kama kweli lowasa ni mwanaharakati bs aje apige debe ccm iondoke tutampa heshima.chadema ilishajengwa hivyo aheshimu aliowakuta.
  4. N

    JamiiForums Tanzania GE2015 Unaunga mkono Lowassa kuhamia CHADEMA na kuwa mgombea Urais?

    Aje tu lakini asigombee urais slaa ndo habari hapana tn hapana
  5. N

    JamiiForums Tanzania Natafuta mme msabato(seventh day adventist)

    hawa jamaa wanapenda sana kuwaponda wenzao wanajiona wao ni bora sana kumbe ss tunajua hakuna mwanadamu aliekamilika sote tunautafuta ukamilifu hapa duniani.wasabato ni tatizo pia ni washirikina sanq hawa ndugu zangu.
  6. N

    JamiiForums Tanzania Natafuta mme msabato(seventh day adventist)

    ukweli ni huo wanaume wa kisabato hawajatulia kbs pia kama unataka kuolewa na wasabato utasubiri sana mana wasabato wenyewe ni wachache sana hapa tz pia ni kanisa lenye kujikweza sana wanajiona wao ni bora sana kuliko wakristo wenzao .tafuta mkiristo yyt mama.
  7. N

    JamiiForums Tanzania Natafuta mme msabato(seventh day adventist)

    kwanza ujieleze kwanini ulizaa mapema huenda kwa kua hujatulia sasa bado unataka tena kuolewa na mwanaume msabato elewa kua wanaume wasabato ni malaya sana sijui km utawaweza .tafakari
  8. N

    JamiiForums Tanzania CHADEMA chukueni tahadhari juu ya majimbo yote yaliyotengwa kwa CUF na UKAWA

    CHADEMA achaneni na CUF, CUF udini na ubinafsi ni tatizo kwa CUF.
  9. N

    JamiiForums Tanzania CUF tunakubalika bara na Zanzibar

    cuf ni shida udini unawasumbua sana
  10. N

    JamiiForums Tanzania Kibwana Dachi tuombe radhi Wakatoliki

    Wakatoliki ni watu waelewa hawana visasi hivyo mada km hizo hakuna haja ya kutuumiza wakatoliki nawaomba wakatoliki wote jivunieni ukristo wenu.
  11. N

    JamiiForums Tanzania Kibwana Dachi tuombe radhi Wakatoliki

    NDUGU ZANGU DINI SI MANENO MENGI DINI SI MATANGAZO KM YA HAO NDUGU ZT DINI NI IMANI DINI NI MATENDO. Wasameheni, hawajui watendalo.
  12. N

    JamiiForums Tanzania Napenda kunusa kufuri la mke wangu

    chukua na zile za hedhi unuse ili umilembe wako utimie.
  13. N

    JamiiForums Tanzania Lowassa anapendelewa na Vyombo vya Habari?

    waandishi wa habari wa tanzania ni wanafiki hawajitambui kwakweli ni janga la taifa letu
  14. N

    JamiiForums Tanzania USHINDI: Lowassa, Dr. Slaa, Mbowe, Lipumba wakiungana basi, CCM kwaherini , byebyeeee

    Toeni uharo wenu nyie timu uwasa hapa kama mmeshindwa huko ccm huku chadema hamuwezi nyie ni watu wa kukurupuka na tamaa ya madaraka tu nendeni na mtu wenu act labda yuda atampokea
Back
Top Bottom